Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni ukweli usiopingika ukiondoa mambo mengine, watu wenye mitego yao wamebutua kwelikweli. Nawaona vijana wengi wa rika yangu nao sio haba! Tycoons wa mjini wamekuwa matajiri zaidi. Magari ya kila...
5 Reactions
20 Replies
252 Views
Mwandishi wa Shirika la Habari la Kimataifa (CNN), Larry Madowo, amekutana na Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwenye Mkutano wa Global Partnership Education (GPE) uliofanyika...
3 Reactions
5 Replies
127 Views
  • Redirect
TAARIFA KWA WAZAZI Kutokana na tahadhari kuhusu uwezekano wa mvua kubwa za El Niño, Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limefanya marekebisho ya ratiba ya mitihani na upimaji wa kitaifa iliyokuwa...
0 Reactions
– Replies
– Views
Anonymous
Mwezi Aprili, LATRA ilipotangaza nauli mpya, ilieleza kuwa safari zisizozidi kilomita 10 zitatozwa Shilingi 700, huku safari zisizozidi kilomita 20 zikitozwa Shilingi 900. Hata hivyo, kwa...
3 Reactions
5 Replies
149 Views
Wakuu za muda huu. Nimekaa nimejiuliza tu leo Tanzania yaliyo tokea mashekh wengi walikaa kimya waandamani walio tetea haki za watu na utekaji kuupigia kelele kua haufai ni wakristo haya twende...
3 Reactions
36 Replies
200 Views
Habari watu wa humu, Hebu nipe pendekezo la AI bora kabisa yenye uwezo wa kubadilisha maandishi (text) ya Kiswahili kuwa audio, yenye lafudhi ya kiswahili fasaha na cha Kitanzania. tf.
1 Reactions
2 Replies
49 Views
Nyie vigogo na machawa huu ndio wakati wenu wa kupiga pesa chafu maana nchi inaongozwa na raisi asiejua kila kitu just to read on writing paper during conference Tumeshuhudia bajeti za karibu...
0 Reactions
0 Replies
28 Views
Maandamo yaliyofanyika tarehe 29 October 2025 yalifanikiwa kufanyika kwa sababu maandamano yalikuwa yameunganishwa na tukio kubwa la kitaifa ambalo ni uchaguzi. Kwa kuwa 29 Oktoba ndiyo ilikuwa...
1 Reactions
16 Replies
196 Views
Au ndio majungu na fitana tuzichukulie kama changamoto
0 Reactions
7 Replies
105 Views
Ni rahisi zaidi ngamia kupenya tundu la sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni Yesu Kristo alisema, ni vigumu kwa tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni kama ilivyo vigumu kwa...
0 Reactions
1 Replies
70 Views
KERO YA VYOO UWANJA WA NDEGE MWANZA - WENYE MAMLAKA FANYENI KAZI Leo nimepata fursa ya kushuhudia hali ambayo, kwa maoni yangu, inahitaji hatua za haraka katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza. Eneo...
2 Reactions
3 Replies
63 Views
Wekezeni kwa wachezaji,mafunzo,viwanja tupate timu nzuri zitakazopata matokeo mazuri watu wafurahie ushindi na sio mambo ya JEZI (DUNIA NZIMA SWALA LA JEZI ni la wazabuni na wabunifu wao)
2 Reactions
5 Replies
40 Views
Katika kutekeleza agizo la Rais Samia Suluhu Hassan la kufanya usafi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametoa mwezi mmoja kwa wafanyabiashara wa eneo la Kariakoo kuondoa msongamano...
1 Reactions
4 Replies
63 Views
My Take Nilikuwa sijui kama Ugoni na fumanizi unaweza peleka kesi mahakamani na kudai fidia. =============== Mahakama ya Rufani imethibitisha hukumu ya fidia ya Sh milioni 10 kwa Mkurugenzi wa...
12 Reactions
42 Replies
907 Views
Inafika wakati salfa inakuja chache watu hulatimika kulala kwenye maghala kugaiwa salfa wakifika maafisa ugani asubuhi wanawapa watu wachache kisa wanasema mtandao unasumbua basi maghala hufungwa...
4 Reactions
2 Replies
54 Views
Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado anaendelea na ziara ya kijiji kwa kijiji katika jimbo lake, akiwasikiliza wananchi na kupokea malalamiko yao mbalimbali. Tarehe 24 Steptemba...
0 Reactions
1 Replies
30 Views
Matukio mengi ya kutisha na kushangaza mkoani Arusha yanatafsiriwa na jamii kwa mitazamo miwili tofauti imani za kiroho/giza (kama vile ushirikina na laana) na sababu halisi za kijamii na...
16 Reactions
82 Replies
1K Views
Wananchi wa Kijiji cha Machemba, Wilaya ya Tunduru wameiomba Serikali kuwapatia vyanzo salama vya maji baada ya kueleza kuwa wanategemea kisima ambacho, kwa mujibu wao, hakikidhi viwango vya...
0 Reactions
1 Replies
73 Views
Back
Top Bottom