Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Natoa ombi kwa serikali, kutafuta mtu awe mzawa au mgeni wamuuzie kampuni ya ttcl Sasa hivi wameanzisha huduma ya fible, leo ni siku ya pili no internet, hizo siku zingine ni internet ya...
2 Reactions
6 Replies
511 Views
Huku mvua inapiga vema. Hapo ulipo vipi?
3 Reactions
11 Replies
159 Views
Ukizosoma amri kumi za biblia amri nne zinamuhusu mungu, amri sita zilizobaki ndio zinaratibu mahusiano na maisha ya binadamu kati yao. Fikiria kama amri nne za mungu zinazomuhusu yeye...
3 Reactions
14 Replies
150 Views
Anonymous
WAMILIKI WA MASHAMBA – KATA YA MAKOMERO IGUNGA MJINI – TABORA, TANZANIA Tarehe: 17 Septemba 2026 KWA: MHESHIMIWA WAZIRI MKUU Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Waziri Mkuu DODOMA YAH...
0 Reactions
0 Replies
13 Views
Karibu binti na mwana wa Mama Afrika. Moja ya Vitu ambavyo vinatafutwa na watu wa dini tatu maarufu ya Ukristo, uislamu na uyahudi, ni vibao viwili vya amri kumi za Mungu. Kwa sababu Maandiko...
0 Reactions
2 Replies
492 Views
Huu wimbo wa Israel Mabinti huwa unanifanya nitafakari sana kuhusu waamini Mungu na dini. "Ukiniponya nitaamini, hata usiniponya bado nitaamini. Ukinijibu nitaamini, hata usinijibu bado nitaamini."
1 Reactions
2 Replies
30 Views
Nimedokezwa kuwa huko CIA na MOSSAD wao Kipaumbele chao kwa wanao wa recruit ni Akili za Kuzaliwa nazo pekee na hizo za Kitaaluma (za Darasani) nenda Katambe nazo kwa Washamba Wenzako huko...
2 Reactions
49 Replies
4K Views
Mgonile, Tukiweka ubishi pembeni kuna matukio ukiona tu papo hapo akili yako inakwambia jambo hili haliwezekani kwa kanuni za kawaida isipokua kwa nguvu tusiyoiona ila tunaweza kwa hakika...
1 Reactions
73 Replies
687 Views
Huko nyuma gram 50 za Africafe zilikuwa Tsh 4000. Leo hii zimefika 7,000!! Utafikiri hatulimi wenyewe. Kwa hizi hesabu kilo ya kahawa itakuwa Tsh 140,000. Laki moja na arobaini! Nadhani wakaanga...
6 Reactions
6 Replies
117 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw.Albert Chalamila, ameagiza kila nyumba kuwa na kifaa cha kuhifadhia taka (dustbin) angalau mbili kama sehemu ya juhudi za kuhakikisha Jiji la Dar es Salaam...
0 Reactions
8 Replies
173 Views
Utangulizi Katika jitihada za kuweka Jiji la Dar es Salaam katika hali ya usafi, Mkuu wa Mkoa huo, Mheshimiwa Albert Chalamila, ametoa agizo jipya linalomtaka kila mmiliki wa nyumba mkoani humo...
1 Reactions
2 Replies
124 Views
  • Redirect
Meli ya kiraia yenye bendera ya Tanzania imepigwa na droni ya Urusi katika Bahari Nyeusi siku ya Alhamisi, ikiwa njiani kuelekea bandari ya Ukraine, mamlaka ya Ukraine imethibitisha. Kwa mujibu...
0 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 17, 2026 amefanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Dkt. Patrice Motsepe, ofisini kwake Magogoni, jijini Dar es Salaam.
0 Reactions
– Replies
– Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 17, 2026 amefanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Dkt. Patrice Motsepe, ofisini kwake Magogoni, jijini Dar es Salaam.
0 Reactions
2 Replies
90 Views
Ijumaa ya tarehe 28 Agosti, nilichapisha hapa jukwaani habari ya walimu wa shule ya sekondari IGANZO iliyopo mkoa wa Mbeya kujaribu kusitisha masomo ya mdogo wetu bila kufuata utaratibu rasmi...
0 Reactions
34 Replies
278 Views
Umri hau define uwezo wako, potential,busara,hekima,au mafanikio yako Kuna mtu ana miaka 18 lakini ni smart kwenye angle zote, The same kuna mtu yuko na 30,40,50,60yrs lakini ni bogus. Mindset...
5 Reactions
41 Replies
264 Views
Kwa wengi, mpira wa miguu ni burudani. Kwa wengine ni biashara. Kwa wengine ni ajira. Lakini kwangu, mpira wa miguu umekuwa mwalimu wa maisha. Kadiri ninavyozidi kuutazama, ndivyo ninavyoona...
19 Reactions
26 Replies
400 Views
Habar za wikiend wanajamvi. Poleni na pirika za wiki nzima na misukosuko ya kila aina. Haijalishi umeivuka kwa namna gani lkn upaswa kumshukuru alie juu. Naandika bandiko hili kuomba ushauri wa...
3 Reactions
43 Replies
503 Views
2 bedroom furnished appartment inauzwa Westland, Nairobi kwa KES 9.5M sawa na 190M za kitanzania. Vyumba viwili vya kulala, sebule, dining, jiko, 3 bathrooms, laundry area na balcony. Yani kwa...
2 Reactions
3 Replies
77 Views
Haya maisha ya kuishi ki huni huni hayana maana. Nitafanya ibada saana, Fanya mazoezi sanaa. Ongeza muda wakulala. No fegi...no kilevi chochote. Kunywa maji kwa wingi. NO SExiiii...
11 Reactions
59 Replies
442 Views
Back
Top Bottom