Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

👉 Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob John Mkunda, alisema kuwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) litaendelea kushirikiana na Vyuo Vikuu vya Tanzania ili kuongeza tija...
0 Reactions
1 Replies
44 Views
Hamjambo! Kama mambo yataenda hivi yalivyo. Nikiri kwamba hali yangu itakuwa ngumu na mbaya sana. Pesa huna Chakula huna. Kazi haieleweki. Tumekwisha
11 Reactions
102 Replies
797 Views
MISENYI Kikao cha maridhiano cha kujadili na kutafuta suluhu ya changamoto ya ardhi inayowahusisha wananchi, wafugaji na Jeshi kimefanyika leo Sept 17, 2026 katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya...
0 Reactions
0 Replies
19 Views
NAIROBI, KENYA Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inashiriki mafunzo ya wiki moja kuhusu mifumo ya usimamizi wa upimaji na milki za ardhi, yanayofanyika jijini Nairobi, Kenya...
0 Reactions
0 Replies
24 Views
Unaweza kubatizwa na usipokee Roho Mtakatifu. Unaweza kupokea Roho Mtakatifu kwa kuwekewa mikono au la. Mambo haya yamekuwa yakiongelewa na baadhi ya watu, bila majibu sahihi. Hebu tuyaangalie...
0 Reactions
1 Replies
23 Views
Habari wanaJF, Naomba ushauri wenu kuhusu jambo lililonitokea mimi na mwenye nyumba wangu, maana mpaka sasa sijui kama mimi ndiye mwenye makosa au kuna sehemu mwenye nyumba hakunitendea sawa...
5 Reactions
86 Replies
713 Views
Na Mwandishi Wetu. Dar es Salaam-Tanzania, 17 Septemba 2026: Je, umekwama katika ufanyaji wa kazi ambayo unajua kabisa hiyo siyo kwa ajili yako, na umewahi kujiuliza kama kitu ambacho una uwezo...
1 Reactions
0 Replies
25 Views
Kwa nini wanaomini mbinguni na peponi kupo wanaogopa kufa? Kama una uhakika kuna mbingu, peponi, Jannah Firdausi ambapo watu wanaomuamini mungu wakifa wanaenda unapaswa kutamani kufa mapema...
6 Reactions
47 Replies
370 Views
Kuna wanawake wengi nawafahamu kutoka kwao kimsingi imetokana na wao kuwa na makalio makubwa na uzuri mwingine kiasi wa ziada. Naamini hali ni hivyo pia kwa wanawake wengi wa Tanzania wenye...
11 Reactions
43 Replies
587 Views
Amini nawaambieni! Wale matapeli wa ile pesa tuma kwenye namba hii wanapata taarifa kutoka kwa baadhi watoa huduma ya simu wasiokuwa waaminifu! Ukitaka kujua hilo! "Ongea dili lolote na mtu kwa...
26 Reactions
60 Replies
7K Views
Ambao mko( mnafanya kazi) taasisi binafsi au mnamiliki taasisi binafsi kama shule,nk nafikiri Muna majibu na kama nachoandika ni kweli mtaniambia. It's normal kukuta mfanyakazi anakatwa makato...
6 Reactions
23 Replies
242 Views
Pale Crdb Kuna ujinga mwingi sana hasa wazee walioajiriwa kipindi Cha kimei huenda wengi waliingizwa kazini kwa vimemo Juzi nimeenda na noti za sh laki moja ambazo ni chakavu elfu kumi 9 na elfu...
3 Reactions
6 Replies
155 Views
Mama mmoja, kwa jina la Kalie Robins, ameibua wasiwasi kuhusu namna tool ya Meta AI inavyoweza kutumia taarifa zilizowahi kuchapishwa mtandaoni kukusanya na kuhusisha taarifa binafsi. Kwenye...
2 Reactions
4 Replies
123 Views
Mfanyabiashara wa miamala ya fedha Bi. Vaileth Libaba mwenye umri wa miaka 34, mkazi wa Shewa Kata ya Mwakibete Jijini Mbeya, ameuawa na kuporwa fedha taslimu shilingi 300,000/= na simu zake mbili...
5 Reactions
86 Replies
1K Views
Mara ooh! Hili shati siyo zuri, nyambafu! Kama kwako siyo zuri kwangu ni zuri. Mwingine ooh! Usipige nyeto maana siyo tamu! Kama kwako siyo tamu funga bakuli! Ukumanyoko wala si dili! 😎
6 Reactions
23 Replies
150 Views
Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar...
2 Reactions
5 Replies
153 Views
Kama unapata fursa yako dar, we endelea kuishi dar, usidanganyike kurudi nyumbani Kuna sehemu nyingi hapa tanzania, kujenga nyumba ni ghali kuliko anaejenga dsm Nyumba na vyumba vya kupanga...
9 Reactions
18 Replies
204 Views
Mlinzi wa kituo cha mafuta cha Puma kilichopo Kata ya Kihonda Magorofani, Manispaa ya Morogoro, anadaiwa kumpiga risasi mwananchi aliyekuwa ameegesha gari katika eneo la kituo hicho. Kwa mujibu...
5 Reactions
24 Replies
434 Views
Kuna huyu hapa, macho mazuri vibaya mno, hakika huyu hata akinikamata nitaenjoy sana. Kuna mmoja hivi nilimuona maeneo ya sarenda bridge, aisee, kadogodogo kafupi kiasi kana matege hivi...
16 Reactions
69 Replies
805 Views
Makete. Takribani watoto wanne kati ya 10 wenye umri wa miaka 10 hadi 14 mkoani Njombe hawajafikia kiwango cha chini cha umahiri katika kusoma, huku watatu kati ya 10 wakikabiliwa na changamoto...
1 Reactions
0 Replies
25 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…