Huko nyuma gram 50 za Africafe zilikuwa Tsh 4000. Leo hii zimefika 7,000!! Utafikiri hatulimi wenyewe. Kwa hizi hesabu kilo ya kahawa itakuwa Tsh 140,000.
Laki moja na arobaini! Nadhani wakaanga...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw.Albert Chalamila, ameagiza kila nyumba kuwa na kifaa cha kuhifadhia taka (dustbin) angalau mbili kama sehemu ya juhudi za kuhakikisha Jiji la Dar es Salaam...
Utangulizi
Katika jitihada za kuweka Jiji la Dar es Salaam katika hali ya usafi, Mkuu wa Mkoa huo, Mheshimiwa Albert Chalamila, ametoa agizo jipya linalomtaka kila mmiliki wa nyumba mkoani humo...
Meli ya kiraia yenye bendera ya Tanzania imepigwa na droni ya Urusi katika Bahari Nyeusi siku ya Alhamisi, ikiwa njiani kuelekea bandari ya Ukraine, mamlaka ya Ukraine imethibitisha.
Kwa mujibu...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 17, 2026 amefanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Dkt. Patrice Motsepe, ofisini kwake Magogoni, jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 17, 2026 amefanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Dkt. Patrice Motsepe, ofisini kwake Magogoni, jijini Dar es Salaam.
Ijumaa ya tarehe 28 Agosti, nilichapisha hapa jukwaani habari ya walimu wa shule ya sekondari IGANZO iliyopo mkoa wa Mbeya kujaribu kusitisha masomo ya mdogo wetu bila kufuata utaratibu rasmi...
Umri hau define uwezo wako, potential,busara,hekima,au mafanikio yako
Kuna mtu ana miaka 18 lakini ni smart kwenye angle zote,
The same kuna mtu yuko na 30,40,50,60yrs lakini ni bogus.
Mindset...
Kwa wengi, mpira wa miguu ni burudani. Kwa wengine ni biashara. Kwa wengine ni ajira.
Lakini kwangu, mpira wa miguu umekuwa mwalimu wa maisha.
Kadiri ninavyozidi kuutazama, ndivyo ninavyoona...
Habar za wikiend wanajamvi.
Poleni na pirika za wiki nzima na misukosuko ya kila aina. Haijalishi umeivuka kwa namna gani lkn upaswa kumshukuru alie juu.
Naandika bandiko hili kuomba ushauri wa...
2 bedroom furnished appartment inauzwa Westland, Nairobi kwa KES 9.5M sawa na 190M za kitanzania. Vyumba viwili vya kulala, sebule, dining, jiko, 3 bathrooms, laundry area na balcony. Yani kwa...
Haya maisha ya kuishi ki huni huni hayana maana.
Nitafanya ibada saana,
Fanya mazoezi sanaa.
Ongeza muda wakulala.
No fegi...no kilevi chochote.
Kunywa maji kwa wingi.
NO SExiiii...
Experience the Great Migration and witness the spectacular Ndutu Calving Season on a 5-day Tanzania budget safari through the Serengeti ecosystem and Ngorongoro Conservation Area.
The Ndutu...
Demokrasia ya kiliberali (Liberal democracy) imekufa duniani, imezikiwa na utawala wa Trump, Israel na matajiri mabilionea wa dunia. Tupiganie zaidi utawala unaowajibika kuleta maendeleo ya vitu...
Brian Deacon, mwigizaji mashuhuri wa nchini Uingereza aliyetokea katika familia ya kawaida ya fundi magari na muuguzi mjini Oxford, amejikuta katikati ya mjadala mzito wa kiimani duniani kote...
Hii dunia ina mambo sana.
Kuna watu ukimkuta mtu hana kitu leo, wanajiona kama Mungu amewapa cheo cha kuwa majaji wa maisha ya wengine.
Mtu akija hapa na kusema nina changamoto, badala ya...
Inakuaje serikali inashindwa kutengeneza ajira wakati nchi bado Iko nyuma sana kimaendeleo na yapo maeneo mengi sana ya kufanyia kazi ?
Mfano ikawakusanya tu vijana wasio na ajira ikwapa kazi ya...
Chuo kikuu cha Jomo Kenyatta cha Sayansi na Teknolojia kime kataa kuwa Mbunge anaitwa Barasa sio mhitimu wa pale. Hii Autonomy yao vyuo vikuu vya Kenya nimeipenda.
Je ingekuwa hapa kwetu mbunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.