Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Bella Urassa, ambaye ni dada wa marehemu Jenifer (Jeni) Urassa amesema hawezi kusema uongo, ni kweli mdogo wake alimweleza siku chache kabla ya kuuawa kuwa alikuwa na hofu kuhusu usalama wa maisha...
33 Reactions
179 Replies
3K Views
Naona biashara hii imeshamili kwa kasi sana! Naomba nipate ABC kwa nyie mnaofanya hii biashara!! Mtu amechukua choo gorofani analipisha wateja! Je n biashara nzuri kuwekeza? mfano: NIMEULIZIA...
2 Reactions
10 Replies
221 Views
Madereva wa Bajaji (bolt) stories zenu zinafikirisha sana, sasa sijui zinakuwa za ukweli asilimia ngapi?? Huu ni mtiriri wangu: 1. Aisee kuna demu mmoja wa kishua kanipenda sana, tunagonga humu...
3 Reactions
4 Replies
127 Views
Moja kwa moja, Katika kipindi cha miaka 7 Dar sijawahi kushuhudia mvua kama iliyopiga siku mbili hizi haswa ya leo ndio bab kubwa sehemu nyingi maji yamejaa sana. Tukirudi nyuma wakati tahadhari...
23 Reactions
89 Replies
9K Views
Mkongo hapa ametupwa mbali na hii kitu watu wanajiboost na kufurahia show yaani ni show show tu Muulize watu wa kanda ya ziwa watakueleza hii namna ni hatari fire kama fire mkesha wa kujitakia...
1 Reactions
48 Replies
897 Views
Kuna mambo tuliyoambiwa tangu utotoni ambayo ukiyatafakari leo, unaweza kucheka na kulia kwa wakati mmoja. 1. Elimu ndiyo ufunguo wa maisha. Ukiwa mtoto unaambiwa ukisoma kwa bidii utafanikiwa...
8 Reactions
16 Replies
174 Views
Mzuka wana jamvi ? Watu wengi kutokana na Kenge jinsi alivyo ukiwaambia kuwa ni mtamu na kitoweo kizuri wanabisha , ila kiuhalisia Kenge Nyama yake ni tamu sana kwa Supu , Nyama choma nk ...
16 Reactions
65 Replies
1K Views
Ripoti ya Uwajibikaji wa Utoaji wa Huduma za Jamii 2024/25, iliyoandaliwa na WAJIBU na Policy Forum kwa kutumia ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imebaini kuwa vifaa...
3 Reactions
5 Replies
119 Views
TAHARUKI imetanda katika Mtaa wa Mailimbili Darajani, jijini Dodoma, kufuatia tukio la mwanamume anayedaiwa kumuua mkewe kwa kumchoma na kitu chenye ncha kali shingoni. Marehemu ametambuliwa kwa...
13 Reactions
308 Replies
3K Views
Oktoba 7, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Maji taka Mtaa wa 10, Kata ya Ngamiani - Tanga yanahatarisha usalama wa afya, kero hiyo imedumu kwa zaidi ya wiki moja sasa, licha ya kuwa...
0 Reactions
0 Replies
86 Views
Anonymous
Tunaomba viongozi wa Serikali walitazame kwa umakini changamoto ya usafiri katika eneo la Songwe, Wilaya ya Mbeya Vijijini. Huduma za Bajaji ambazo awali ziliturahisishia usafiri zimesitishwa, na...
0 Reactions
0 Replies
97 Views
Anonymous
Wakazi wa Makuburi, ninaomba msaada kuhusu moshi unaotolewa na kiwanda cha Mkapa Export kuanzia asubuhi hadi usiku, unatuathiri sana sisi wakazi, lakini mpaka sasa hatujaona hatua zozote za...
0 Reactions
0 Replies
33 Views
Anonymous
Maafisa wa Manispaa ya Ilala wanapita kudai service levy, lakini kwa wale ambao hawajalipa, wanadaiwa kuchukua leseni za maduka na kuziondoa pamoja na fremu zake ukutani. Wanasema leseni hizo...
0 Reactions
0 Replies
34 Views
1. Mpira 2. Uchawa Mpira Utamkuta muislam anatumia mali yake na muda wake mwingi ktk kuendeleza mpira badala ya kutumia muda huo ktk kuendeleza maskini, Maya timamu, kusaidia walimu wa madrasa...
3 Reactions
11 Replies
156 Views
Hii tabia nimeona sana kwa watu hawa. Mtumiaji wa soda ni hakimu wa mtumiaji wa pombe. Mwenye imani tofauti na mwenzake ni adui yake. Maskini ni adui wa tajiri na tajiri ni adui wa maskini.
3 Reactions
4 Replies
80 Views
MAANA YA MWANAUME KIBAILOJIA Kibaiolojia, mwanaume ni kiumbe binadamu wa jinsia ya kiume ambaye anafafanuliwa kupitia sifa zake za kijenetiki, homoni, na viungo vya uzazi. Sifa Kuu za Kibaiolojia...
4 Reactions
12 Replies
150 Views
Hizi imani zenu kila siku mtaambiwa kwa mungu kuna bikra 74,kwa mungu kuna rahaa,kwa mungu mapipa ya pombe,kwa mungu kuna kuimba na kucheza. Huyu mungu kama ana mapenzi na dunia kwa nini asifanye...
2 Reactions
13 Replies
100 Views
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Neema Lugangira (katikati) na Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation, Zuweina Farah (wa pili kutoka kulia) wakikata utepe wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kituo cha...
0 Reactions
0 Replies
26 Views
Wakuu nilikua natafakari jambo hapa, hivi umasikini unaharibu mahusiano au unafichua tabia halisi za watu? 🤔🔥 Kuna wanaosema mapenzi ya kweli huonekana wakati wa shida, lakini wengine huamini...
0 Reactions
1 Replies
70 Views
Back
Top Bottom