Wamarekani nao wamepigika...sana bila kujali tofauti zao na rangi ya ngozi. Nao wanagombania mitumba siku ya gulio (Ijumaa Nyeusi) tazama mwenyewe.
View attachment 945011
Black Friday brings out the crazy carnage once again (PHOTOS, VIDEOS)
Battlefield Paris: Police hit protesters with tear gas as massive fuel rallies grip France (VIDEO)
===
Hawa si ndiyo wanatetea uhuru wa kuandamana...mbona sasa wanawapiga mabomu wananchi wao. Kiasi cha wananchi hao kulazimika kuharibu miundo mbinu baada ya kunyimwa uhuru wa kuandamana. Hakuna cha utawala bora na demokrasia iwe Ulaya ama Amerika ya kaskazini. Ni unafiki unafanywa.
Majuzi kuna tukio limetokea Marekani katika mall, kuna mtu kaua watu kwa risasi. Katika kutafuta mhusika Polisi wakampiga risasi kijana mwingine..hivi huoni Polisi wanaoonekana ktk video wanavyojitahidi kutuliza maandamano kwa uangalifu mkubwa?
unaweza kulinganisha na UKATILI unaofanywa na Polisi wetu?
..umeona jinsi wanavyowakamata waandamanaji? umelinganisha na jinsi polisi wetu wanavyokamata waandamanaji?
..Ingekuwa hapa kwetu waandamanaji wangepigwa RISASI ZA MOTO, au wangelipuliwa na MAGURUNETI kama ilivyotokea kwa DAUDI MWANGOSI.
cc tindo