Wanaoshangilia siku 100 za rais Samia madarakani wasishangilie sana.
Wasishangilie sana kwa sababu kwanza kinachotajwa kuwa ni mafanikio kwa hakika ni sehemu ya utekelezaji wa mambo ambayo...
Ni kilometre 14 tu kutoka Afrika kwenda Ulaya lakini hakuna aliyependrkeza wazo la kujenga daraja. Wakati tunaelewa Ulaya inapata malighafi nyingi kutoka Afrika na pia inapata wafanyakazi vijana...
Kanisa la leo limekosa maana, linajificha nyuma ya Mungu na kuomba badala ya kuuathiri ulimwengu kwa sheria na kanuni za Mungu. Kwa nini kanisa limekosa maana? Kulingana na uzoefu binafsi...
Kuna nyuzi nyingine zinazokingana na sifa ya jf. Mfano, mtu anauliza eti ni faida gani ulipata kwa mwanamke! Kamuulize mama yako ndo utajua faida ya mwanamke.
Mwingine mara usipinge dini fulani na...
Toka kuanza kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, tumeingia kwenye Uchaguzi Mkuu mara nne, 1995, 2000, 2005 na 2010 na katika chaguzi zote hizi hakuna uliokuwa na changamoto na wenye msisimko kama...
Mpambano wa FAM na TAL una afya
''Chawa Wanashona Sanda, Wapambe wanachimba kaburi
Kwa wiki, habari zinazotamalaki ni mpambano wa Uenyekitiki wa CHADEMA (CDM) kati ya Mh Mbowe (FAM) na Mh Lissu...
CCM kumbomoa Mbowe
Wadai watatumia mbinu iliyommaliza Sumaye
Na Mwandishi Wetu
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeanza mkakati wa siri wa kubomoa upinzani, na sasa imedhihirka kwamba mlengwa...
There is an urgent need for policies to allow for homeschooling in Tanzania. At the moment the legal and policy landscape does not provide for homeschooling. Now is the time.
EDIT 1: WHAT IS...
Kilichonipa hamasa ya kuja na mjadala huu ni kauli ya Mwenyekiti wa Chadema (Taifa), Freeman Mbowe, aliyoitoa hivi karibuni ambapo alitamka (nanukuu):
"Iwapo CCM itashinda uchaguzi mwaka 2015...
Ni Mungu
Zaburi 76:12
Yeye huzikata roho za wakuu;
Na kuwatisha wafalme wa dunia.
Mungu humtumia mtu yeyote amtakaye Kufanya jambo lake, Hata Farao wa Misri alitumikia shauri la Mungu pia kwa...
Salaam wanajamii na hasa wafuatiliaji wa jukwaa hili.
Ni jana tu tumepata matokeo ya uchaguzi ya ndugu zetu wa Marekani, ambapo Trump, Donald aliibuka Kidedea. Sema nimeshangazwa kwa nini jukwaa...
The Curse of Salvation
This is a story of cursed salvation
Call it the curse of salvation
It sets a stage for what is to come
It reconstructs the whole scene
When things were serene...
US President in 2021
False Fraud Allegations
True Fraud Allegations
Remarks
President Biden
Jamii itawaona chama cha Republican na Rais Trump ni ving'ang'anizi...
UCHAGUZI US
Ni miezi miwili imebaki kwa Taifa kubwa la Marekani kufanya uchaguzi.
Wiki mbili zilizopoita Democrats na Republican vilifanya mikutano ya kuwathibitisha wagombea.
Mwaka huu kutokana...
Katika mambo yanayoshangaza ni namna Biblia inavyoonesha kurejea vitabu vingi ambavyo havipo ndani yake. Swali la kujiuliza ni je vitabu hivyo vimetajwa tu havipo au vimeondolewa? Na kama...
Achana na maandamano ya CHADEMA, miaka kadhaa iliyopita kulikuwa na maandamano ya wamachinga. Mtu mmoja ambaye alitajwa kuwa msemaji wa wamachinga alirekodiwa akiwataka watu wengine wasiandamane...
Matokeo ya kidato cha nne yameacha kujadiliwa, kama kawaida waandishi wameripoti bila kwenda kiundani zaidi kusema matokeo haya yana maanisha nini kwa jamii. Hata hivyo kuna mtu ndani ya JF...
Nchi kadhaa zimekuwa na mijadala juu ya ukomo wa umri ambao rais anatakiwa kutovuka ili kuendelea kutawala. Hata hivyo, baadhi ya marais wamekuwa wakibadili katiba zao ili kuhakikisha wanabaki...
HISIA ZAJITOKEZA, UTAIFA WATAWALA ''WATANGANYIKA WAKITOA YA MOYONI HAPAKALIKI' WAZANZIBAR WATAWANYIKA, HAWANA KAULI, SASA NGUMI MKONONI
SEHEMU YA I
Ndugu wanaduru Bunge la katiba la CCM au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.