Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Kuna mtu yoyote anaweza kujua Mondi logic yake ni ipi kusema zombi siku hizi hizi beat hazipigwagi.. Ni beat gani Hizo maana kama ni amapiano ndo Kwa sasa kipenzi cha ma teenage na Wao wanafanya...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa wale waliokuwa wapenzi wa kusikiliza vipindi mbalimbali vya radio bongo. Watakubaliana nami kuwa beats za hizi ngoma za hip hop mbili - Tatu bila ya Tmk wanaume halisi na - Still ya dr dre...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwa watazama series kama mimi kwenye series nyingi ulizotazama kuna Character ambae ni bora zaidi na alikufurahisha zaidi Binafsi Styles Stilinky wa kwenye TeenWolf hana mpinzani Niambie wako...
5 Reactions
100 Replies
9K Views
Binadamu by AY featuring Maurice Kirya This is A.Y from Tanzania, Maurice Kirya and Hamdee from Uganda. It’s a dedication to all African who living in poverty. Verse 1 Usiombee mambo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mchizi makuu anayo, Ana mziki mtamu sana mshkaji. Mm nasemaga Chris brown, Jason derulo na fally ipupa wataingia peonies asee.. Leo naongeza Battan naye atakuwepo. Hiyo hapo 🤭
7 Reactions
39 Replies
1K Views
SEHEMU YA KWANZA: Nyarugusu- Kigoma, Tanzania Hofu ilikua imetanda miongoni mwetu, kina mama walikumbatia watoto wao, zaidi ya vilio vya watoto hakuna sauti nyingine iliyosikika, hata ndege pia...
10 Reactions
84 Replies
14K Views
Sehemu ya 1 JINA lake kamili aliiitwa Meddie Manyara. Hii ilikuwa ni mara yake ya kwanza kukanyaga katika majengo ya Shule ya Sekondari ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Meddie alikuwa amehamia...
1 Reactions
12 Replies
9K Views
SURA YA 1 KWA mara nne mfululizo katika wiki ile, Luteni Maige alijiwa na ndoto ile ile usingizini. Aliamka kwa mshtuko, jasho likimtoka huku akihema kwa kasi. Safari hii, hata alipofumbua macho...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
1.DO YOU REMEMBER-PHIL COLLINS 2.SOME BROKEN HEART-DON WILLIAMS 3.PLEASE FORGIVE ME-BRYAN ADAMS 4.FOREVER IN LOVE-KENNY ROGERS 5.ABBA-CHIQUITITA 6.SACRIFICE-ELTON JOHN 7.JUDY BOUCHER-CANT BE WITH...
2 Reactions
93 Replies
20K Views
Wakuu, amani ipitayo fahamu zote iwe nanyi. Ni muda kitambo umepita pasipo kupeleka mada jukwaani kwa sababu sikupata muda wa kutosha kuandaa makala ndefu yenye hoja fikirishi. Leo naleta kwenu...
12 Reactions
33 Replies
5K Views
Kama kuna member anaweza nisaidia kupata nyimbo za soca rhumba calypso zilizovuma enzi za miaka ya 1980 naomba msaada
0 Reactions
1 Replies
321 Views
By Joh Makini ft Ben Pol I love what I am doing. A city in da houz Yeah… Aaah! Some other people miss the old me Some other people love the new me I thank God all these people They don’t know me...
0 Reactions
0 Replies
635 Views
WATU FEKI- Appy Siku mbili sijalala sijakula Ninastress Nyumba imegeuka chumba cha dharura Emergency Sioni marafiki ama mashosti Au mnasubiri nife ndio mniposti Bora nitafute pesa Ndugu wa kweli...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Itsa WEEKEND. Tuanze nayo hivi basi 1BR Sarah anatafuta makazi mapya hapa jijini Los Angeles lakini kazi hii inakuwa ngumu sana. Kwanini? Pesa ndogo. Akipata panapofaa, basi kodi ni kubwa, na...
15 Reactions
48 Replies
3K Views
UPDATE Simulizi hii ina misimu mitatu (three seasons) na zote zitakuwepo kwenye uzi huu huu. 1st season ina episodes 4 tu japo ndefu ndefu kiasi. 2nd season ipo post #90 na episodes zake ni...
34 Reactions
286 Replies
35K Views
Mfahamu Idris Sultan Amezaliwa Januari 28, 1993 jijini Arusha. Anafahamika kama mwigizaji, Mchekeshaji na mtangazaji wa vipindi vya radio Safari yake ya mafanikio ilianza baada ya kushinda...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Katika Makuzi, Ama ujana na wengine wenu Ni uzee kabisa mmekua ama timekua tukisikiliza nyimbo za muziki hasa kutoka Nchi ya Kidemokrasia ya Congo. Muziki huu umekua ni sehemu ya Burudani na...
2 Reactions
4 Replies
5K Views
Mimi labda ninatatizo ila kiukweli AY sijawahi kumuelewa kabisa. Tangu nimeanza kumsikiliza wayback hajawahi kutoa ngoma nikaielewa kabisa. Labda ile Yuleee, nampenda sana jinsi alivyooo.... nayo...
19 Reactions
273 Replies
14K Views
Mapumziko laini namsikiliza Fido Vato Ololoo ni bonge la album. Inasikitisha hata Generation zingine wamekua kama Gen Z hawataki tena mistari migumu. Uzi tayari.
0 Reactions
0 Replies
349 Views
Back
Top Bottom