Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Salaam wakuu, Uzi huu maalumu kwa sisi wapenda bata hata kama vyuma vimekaza, tunapambana na hali zetu na bata kama kawaida. Sitaanza kwa kutaja kiwanja chochote kwa sasa, isionekane nafanya...
4 Reactions
447 Replies
75K Views
Nimetokea kuuchukia sana huu wimbo😡😡 Huu wimbo umehusika kuchochea maovu na huenda utazidi kuleta maovu mengine mazito. Pia soma: Jeshi la Polisi lawakamata watuhumiwa 4 kati ya 6 waliofanya...
4 Reactions
44 Replies
2K Views
SIJIWEZI Lyrics By Poor Brain Featuring Ms R VERSE 1 Poor Brain 🧠 Koh koh koh Bomboclat Oooh baby nataka nikwambie vile moyo wangu what i feel, Are you ready uisikie nafsi yangu upande wa...
19 Reactions
411 Replies
6K Views
Yondo Kusala Denise (amezaliwa tar. 1 Januari 1958) ambaye anajulikana zaidi kwa jina la kisanii kama Yondo Sister, ni msanii wa Kikongo. Wengi humwita "Malkia wa Soukous", "Tina Turner" wa muziki...
31 Reactions
67 Replies
6K Views
Wapendwa habari zenu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo, naombeni mtiririshe series kali zinazohusu uchawi, vampires, warewolfs and all supernaturals. Zangu mimi naanza na; 1. Vampire...
7 Reactions
100 Replies
9K Views
Hii ngoma ni kali sana na nmeisikiliza bila kujua tafsiri yake kwa muda mrefu sasa, Naona tu kina Boure mpela, Soleil wanga, fally ipupa, Bebe kero, Brigate sarbati, na Fally ipupa wakilalamika...
1 Reactions
9 Replies
873 Views
Tunaweza sote kuitafuta hii filamu. Kupitia video clip niliyoona imenivutia kutaka kujua kiundani zaidi. Hapa mchina akitoa somo fupi kwa huyu mkongo na kwa kiasi kikubwa somo hili ni picha yetu...
5 Reactions
15 Replies
956 Views
YAI Kwa kuwa alikwa mwanae,Chuwa hakumwita mwizi bali,alimwita mdokozi. Chuwa akasahau ya kuwa, kile kinachofanywa na mwanae hakina tofauti na kilichofanywa na kina fulani ila kwa kuwa mwanae...
0 Reactions
0 Replies
589 Views
Kwani kwa Ukung'utaji wake wa Gitaa tamu na nilipendalo la Solo naona anataka Kuwatishia kabisa Amani Wapiga Solo HATARI wa Wenge Musica BCBG (yake JB Mpiana) aitwae Mitre Ficare Mwamba na Flam...
2 Reactions
9 Replies
689 Views
ASANTE Baada ya kugundua mumewe anamsaliti, mke wa chuwa alimtazama mumewe usoni. Akamsogelea karibu zaidi, akambusu shavuni, kisha akamwambia “Asante sana mume wangu” Tofauti na busu la mkewe...
0 Reactions
0 Replies
765 Views
SHETANI Baada ya msoto wa muda mrefu, Chuwa alifanikiwa kupata kazi. Licha ya kazi hiyo kuwa na mshahara mkubwa na marupurupu yakutosha ila iliuweka rehani utu wa Chuwa kwa...
1 Reactions
0 Replies
701 Views
Nionyeshe tajiri ambae njia zake hazijaunga kwa shetani, Nikupe hii..... bure. Aliniambia huku kanikazia macho. Muonekano wake haukuakisi uwezo wake hata kidogo. Shuka nayo...
2 Reactions
55 Replies
8K Views
NUKTA Licha ya kuonywa mara kadhaa, Chuwa hakuwa msikivu. Aliendelea na tabia zake,japo alifahamu kuwa tabia hizo,zinamuumiza sana mkewe. Siku moja, Chuwa alifanya yake tena. Aliporudi...
0 Reactions
0 Replies
245 Views
Unaamini kuna msanii wa BongoFleva anaeweza kuujaza uwanja wa Mkapa akisimama peke yake ONE MAN SHOW?
1 Reactions
13 Replies
757 Views
Connie Chiume, a veteran South African actor who appeared in Marvel film Black Panther, has died at the age of 72, her family has announced. The multi-award-winning actress starred in several...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ney Wamitego ameendelea kupigilia msumari kauli ya kataa ndoa kupitia wimbo wake wa bachela Katika wimbo wake chorus inasema "sisi ndio mabachela hatutaki ndoa mabachela tunakula ujana mabachela...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Muda umefika Wanawake kuongoza Tusikae nyuma wanawake tunaweza Tushikamane wanawake wanawake tunaweza Tusikate tamaa wanawake tunaweza mwanamke simama Mwanamke kinara, wewe ni imara Tusikate...
1 Reactions
0 Replies
528 Views
BIG 20 Hii ni project/movement iliyoanzishwa na media personalities pamoja na wadau wa Muziki jijini Mbeya lengo kuu ikiwa ni kuhakikisha kuwa Muziki na wanamuziki wa mkoa wa Mbeya wanapata jukwaa...
2 Reactions
0 Replies
552 Views
Mimi hii naijua ni ni channel 100 Hii hata vifurushi na chanel zote zikate haikatiki. ila ni chanel ha matangazo
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu habarii, Kiukweli naomba nianze kukiri kuwa Mimi binafsi sio Mpenzi wa Tamthilia/Filamu za hapa nyumbani Almaarufu kwa Jina la Bongo Movie na hii inatokana na Tamthilia/Filamu zetu kuwa na...
26 Reactions
403 Replies
25K Views
Back
Top Bottom