Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wimbo kaimba mdada ila nakumbuka tu kwenye kiitikio, Anaimba aie ieeee aeee eha Apolo apolo aeee eha Aie ieeee aeee eha apolo apolo aeee eha Sijui kaimba nani
1 Reactions
17 Replies
922 Views
Hawa ni madj waliojizoelea umaarufu mkubwa ukanda huu wa Africa mashariki kutokana na umahiri wao wa kutafsiri muvi mbalimbali iwe za kihindi, kichina na za kimarekani na nyinginezo ni DJ MARK wa...
2 Reactions
14 Replies
9K Views
1. BABY'S DAY OUT Mabwana watatu wanaojifanya wapiga picha wanamteka mtoto mdogo wa miezi tisa toka familia ya kitajiri kwa lengo la kutengeneza pesa ya maana kutoka kwa wazazi wake. Bahati...
12 Reactions
19 Replies
1K Views
Hii ngoma iliyokutanisha manguli wa muziki wa Rap hapa Tanzania Kwa miaka hiyo kiukweli ilipikwa,ikasukwa na ikasukika ki kwelikweli! Kiukweli ninayo Jeuri kusema ya kwamba "Kama Kuna mtu...
5 Reactions
40 Replies
2K Views
Hii thread ni kwa wale wapenzi wote wa filamu hapa tutakuwa tunajadiliana kuhusiana na filamu tulizoziona ili wengi wazitafute
2 Reactions
5 Replies
615 Views
Ikiwa kesho ni Valentine's day nimeona niwaletee taarifa kuhusu mtajwa hapo juu alie zaliwa siku hiyo ya Valentine. Joseph Kiambukuta Londa a.k.a Josky, Josky Kiambukuta, Djoe Sex, Le Commandant...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu nawasalimu hasa Wale wapenzi wa Rhumba wenzangu Msanii Jolie Detta aliandika historia ya kuwa mwanamke wa Kwanza kurekodi wimbo katika band ya muziki maarufu tp okk jazz iliyokuwa chini ya...
17 Reactions
93 Replies
9K Views
Nyimbo inaitwa SISIKII ila sio ile yenyewe. Hii kuna na sauti ya mdada, yaani Jux mwenyewe anaimba alafu na mdada anaimba pia nyimbo ni ileile ya Jux sisikii. Sijui ndio mnasemaga cover sijui...
1 Reactions
1 Replies
477 Views
Muigizaji maarufu John Malkovic, ameigiza kama Nyota katika Movie inayoitwa 100 Years. Imetengenezwa mwaka 2015 ambapo inatarajiwa kutoka November mwaka 2115. Kwajina lingine movie hii...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Kichwa hapo juu chahusika, nina mdogo wangu ana kipaji cha uimbaji yupo shuleni. Mwanzo sikujua kuwa anajihusisha na muziki kwani amekuwa ni mcheza mpira mzuri sana hasa upande wa golikipa...
0 Reactions
4 Replies
464 Views
1. Tazama ramani utaona nchi nzuri Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka, Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri, Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania Majira yetu haya, yangekuwaje sasa Utumwa wa...
2 Reactions
6 Replies
38K Views
Kama kichwa kinavyosema, nimeukumbuka huo mstari ila nimesahau ulikuwa kwenye wimbo gani na wa msanii gani. Ni wimbo wa bongo fleva wa enzi zile za golden age of Bongo Fleva kabla ya zama za...
1 Reactions
3 Replies
492 Views
Habarini wakuu, Kuna ule wimbo wa Rayvanny "Unaibiwa" yaani huu wimbo unarelate sana mambo ya mahusiano na kudate kwa sasa. "Unadhani niwapeke ako Kumbe wengine wameshaweka kambi Kakupendea...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Tamthilia ya Lupin ni tamthilia ya uhalifu ya Ufaransa iliyotengenezwa na George Kay na François Uzan. Ilionyeshwa kwa mara ya kwanza kwenye Netflix mnamo Januari 8, 2021. Tamthilia hiyo...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Matatizo: Harmonize 2016 Haiyee aaah! Olelelelee Alfajiri imefika Anga inang'aa Mvua inaanza katika Ghafla tumbo la njaa Naweka sauti kwa spika Nipate umbea wa dar Mara simu inaita Jina la anko...
0 Reactions
0 Replies
766 Views
Ukiona hii chapa, basi ujue humo ndani sio drama, mapenzi wala vita. Hawa jamaa hawana mambo hayo. Hawa wameletwa duniani kwa kazi moja tu, kuwafurahisha wapenzi wa 'horror' na sie tunawashukuru...
7 Reactions
59 Replies
7K Views
i naona mbali) Kwa darubini kali (kwa darubini kali) Afande anasema wote (wote kimya) Ntakayo nena hapa yatamgusa mwenye hekima (Hapo!) hapo ulipo Kama waipenda pepo kwanini uogope kifo? (Eehee)...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Huku mmenishauri nitumie dish la DSTV, kwakweli mwana kafurahia sana nasi tumefurahia . Inavipindi vya kidhungu dhungu, unajiona wewe ni wewe tu kati ya majirani wenye azam na startimes. Startimes...
14 Reactions
24 Replies
1K Views
Assassin anayefuata principle za kisamurai.
3 Reactions
6 Replies
405 Views
Nibebe - Nyota Ndogo “Nibebe” from the album “Mpenzi” Nyota Ndogo featuring Nonini Nonini Ngoma kali hufanya niwakumbushe wakenya Vile Swahili ni kitamu Au sio Nyota aa, Nyota aa Ndogo oo, Ndogo...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom