battani ndo jina gani mkuuBATTANI
amna kitu ngoma haina utofaut na na ngoma yake ya taa sijui paAngalia alichokifanya kwenye hiyo ngoma mkuu
Utamjua tu taratib taratib
kumbe unaelewa utofaut n mdg sana humo mkuuWe unaiona ndogo hii?.. angalia alivyoipika kama bolingo flani.. wew unafananisha ta ta ta ta ta na hko kiitikio right?
š¤¼āāļø
amna kitu humo au ww ni don jazzy unampgia promo mmsanii wako š¤£ššš„¹ ushaanza tena?
Hilo goma linaenda jijini mkuu wewe si upo?
Masaki ndo wapi tena we kaa hapo hapoMs R hapo Masaki hamjambo?