Nibebe - Nyota Ndogo
“Nibebe” from the album “Mpenzi”
Nyota Ndogo featuring Nonini
Nonini
Ngoma kali hufanya niwakumbushe wakenya
Vile Swahili ni kitamu
Au sio
Nyota aa, Nyota aa
Ndogo oo, Ndogo...
Tanta lala la
Ooh la la la la la
Mmh
Ooh Ghafla visenti sina nimerudi Tandale
Nimeshindwa kulipa BIMA nimeuza Madale
Radio nyimbo wamezima Tv ndio hataree
Umeneja umebaki jina
Hanitaki hata Tale...
Kama ujafika korea basi niwajuze tu? Japo wanakila kitu na wapo mbali sana ila swala la migahawa ya vyakura na huduma za chukura korea wapo vizuri sana.
Biashara ya chakura korea hipo tofauti na...
Wakuu na wadau wa Marvel.
Marvel Studio wametoa teaser ya upcoming superhero movie ya Captain America iitwayo Brave World.
Usichanganye na TV Series yao ya Captain America & Winter Soldier, hii...
Wadau,
Natafuta huu wimbo alikiba alipiga live. Nahisi kwenye moja wapo ya show za clouds media.
Kuna live kadhaa za macmuga lakini kwangu mimi hazikuendana sana na hii ninayotafuta.
Thanks.
Natafuta cover ya wimbo wa Hapana wa msanii Marioo ulioimbwa na mdada fulani hivi ukatumika katika tamthilia ya Jua kali.
Anaeweza kunisaidia namna ya kuupata tashukuru.
Pendekeza nyimbo yeyote ya Lyrics nami nitakukumia
1.NIITE SONGA LYRICS
[Intro]
Yeaah… Duke Tachez.. yeeah
[Ubeti wa Kwanza]
Yeah, kwa uzima nafungua kinywa nachomoa hii habari
Naisoma kwa kina...
Muziki wa Reggae ni muziki mzuri unaobeba hisia mbalimbali kama, ukombozi wa mtu mweusi, mapenzi, harakati, nk, kwa kifupi ni muziki unaogusa maisha ya mwanadamu kwa ujumla.
Wasanii wa muziki wa...
Binafsi mimi ni mzalendo na nnapenda sana kufuatilia tamthilia za haoa bongo mara moja moja pindi nkipata nafasi nkiwa home,
Kuna hiI Huba series inayorushwa DSTV (Maisha Magic bongo) ni ya muda...
Nguvu ya Muziki
Kila moyo una wimbo. Pahali ambapo maneno yanashindwa, muziki huongea. Muziki huzungumza kwa hisia. Muziki huleta uwiano kati ya roho, nafsi na mwili.
Muziki ni mwanga wa...
HII NI SIMLIZI YA KISAYANSI NA KITEKNOLOJIA. MTUNZI NI YULEYULE TARIQ HAJJ.
HAYA NI MAONO YA MAISHA YAJAYO.
RIWAYA NYINGINE ZILIZO TANGULIZIA NI
1. CODE X
2.CODE. X 2 MCHEZO WA KIFO.
3.COD X 3...
BLACK WA USWAZI .
_____________________
Hatimaye leo tumefanikiwa kumpata mmoja Kati ya wachonga barabara kwenye Tasnia hii ya Muziki wa Bongo Fleva ambao juhudi zao ndio zimefanya Muziki Huu...
Martin Andrew Kadinda ni mbunifu wa mitindo kutoka Tanzania anayejulikana kwa umaarufu wa kuwa mmoja wa wabunifu wa mavazi na mitindo mbalimbali nchini.
Amewahi kuonyesha kazi zake katika Wiki...
KUACHA KAZI
Baada ya kutoka Burma, siku moja, Utubora alisimama katika ofisi mbele ya tajiri wake kumwambia kuwa alitaka kuacha kazi. Kazi yake ilikuwa ukarani katika ofisi kubwa ya biashara ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.