mwekwa ntandu
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,419
- 3,510
Habari wakuu,
Leo naomba tuelezane diss track ambayo unaikubali kutoka kwa wasanii wetu wa Tanzania kutoka katika aina yoyote ya mziki kuanzia bongo fleva, taarabu, zouk, hip hop, dansi, singeli.
Kwa upande wangu diss track kali ya muda wote ni kutoka kwa Nick Mbishi aliyomdiss Ney wa Mitego (NEEMA WA MITEGO) mashairi yamepangiliwa vizuri, flow kali.
Tiririka na wewe unahisi ni diss track gani kali kwa upande wako.
Soma