Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,829
- 116,314
Je, kuna wapenzi wa mixed martial arts humu?
Je, kuna wapenzi wa mixed martial arts humu?
Je, kuna wapenzi wa mixed martial arts humu?
Thats my stuff Nyani, bring it on. And you know who is the man of the moment?- ANDERSON SILVa!!!!!
Je, kuna wapenzi wa mixed martial arts humu?
Nyani, kwani nawe unazipiga?!
....mimi nilicheza zamani sana jijitsu (kama aka 12 hivi), ila najiona bado wamowamo, saa nyingine nakuwa najiamini kupita kiasi haswa haswa nikiwa navinjari viwanja utafikiri itanisaidia vile, hali ugomvi wa mle ni wa vyupa, spring knives na ukiwa na bahati mbaya sana bastola!! Ni ile hali tu yakuwa unajua/ulijua kitu ndiyo inakuingia na kukututumua kichwa haswa pale tungi linapopanda!!
Yeah...Anderson is a beast...did you see how he finished Dah Henderson..?
.....haya magangwe, jisifieni tu na hizo mbavu zenu nene na vifua kama banda la uani!! mie mkiniletea zenu, napiga simu 911, sina muda wakupeana ng'eu. LOL.
And that man was meant to be his biggest challenge so far but surprisingly it turned out to be a huge mismatch! I would love to see him going up the limit to fight big boys like Chuck and Tito.