Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Muziki na siasa ni mapacha wa damu waliofanya kazi pamoja tangu zamani. Katika miaka ya 1980, Jamhuri ya Zaire (sasa DRC) ilishuhudia kilele cha propaganda ya kisanaa kupitia wimbo wa kihistoria...
4 Reactions
0 Replies
62 Views
Heshima kwa wasanii wote walihusika kufikisha hapa muziki wa kizazi kipya maarufu bongo fleva,pia R.I.P kwa wasanii waliotangulia mbele za haki especially D-ROB.Kwa miaka mingi baad hi ya wasanii...
1 Reactions
2 Replies
82 Views
"Dead Presidents II" ya Jay-Z, wimbo huu unahusu mambo makuu yafuatayo: Kutafuta pesa na mafanikio – Jina Dead Presidents ni slang ya pesa za Marekani, kwa sababu noti nyingi zina picha za...
2 Reactions
3 Replies
126 Views
Marijani Rajabu alikuwa mmoja wa wanamuziki wakubwa na wenye ushawishi mkubwa katika historia ya muziki wa dansi nchini Tanzania. Alizaliwa tarehe 3 Machi 1955, Kariakoo, Dar es Salaam, katika...
7 Reactions
13 Replies
252 Views
Habari wana Jamii Forums! Nimekuwa nikifuatilia sana mijadala hapa JF, na nimegundua kuna uhaba wa mada kuhusu Anime na Manga, hususan zile za Kijapani. Mimi ni mgeni kwenye ulimwengu huu...
14 Reactions
299 Replies
8K Views
Kwa upande wangu mimi muvi za animation nilizokubali kuna: 1. How to Train ze Dragon 2. The Monsters 3. The Croods 4. Aladdin. Mimi nimeanza na hizo na wewe kama mdau wa animation ongezea basi...
2 Reactions
531 Replies
70K Views
Salaam Huu uzi ni kwaajili ya animation (cartoon) kali ambazo uwezo angalia. Pia kujulishana ambazo zitatoka. Animation yangu ya kwanza ilikua ni Big Hero 6, hii ilinifanya niwe mpenzi na...
9 Reactions
154 Replies
16K Views
Wakat napiga Kaz kwenye mel km oiler ikatokea nafas eng class3 alifanya maamuz ya kurud hom akafanye mambo mengine kwa hiyo nafas yake ilipaswa kuzibwa na ili niipate ile nafas nalazimika kuingia...
8 Reactions
32 Replies
807 Views
JE, HISTORIA YA PHILIBERT KABAGO IMESAHAULIKA KWENYE MIAKA 30 YA BONGO FLEVA? Tarehe 8 Agosti 2026, macho ya wadau wa muziki yataelekezwa jijini Mwanza katika tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva...
4 Reactions
2 Replies
424 Views
Yakwangu ni Aikon--Ghetto hii nyimbo jamaa aliitunga kwa ustadi wa hali ya juu sana.
7 Reactions
20 Replies
340 Views
Tunaendelea tulipoishia diss track za sister p kuhusu ngoma ya mwana fa na jay moe " ingekuwa vipi.? Leo tunakutana na clew ya " walugaluga crew " na ngoma yao inaitwa "ingekuwa soo" Unaweza...
0 Reactions
2 Replies
540 Views
HAPO ZAMANI _______________ Vichwa viwili muhimu katika historia ya muziki wa Hip Hop nchini ambapo chimbuko lake ndilo lililozaa muziki wa Bongo fleva, Adili Kumbuka (Nigga One) na Robert...
4 Reactions
2 Replies
114 Views
Mwenye nyimbo ya MADENI ya msanii truba Tanzania nimeitafuta mpaka nimekosa
0 Reactions
0 Replies
58 Views
Ningependa kujua ilipo bendi moja ya mchiriku ambayo ili-modernize muziki wa mchiriku (kwa kuweka vinanda na magitaa) mwanzoni mwa miaka ya 1990 ambayo iliitwa Hisani Musical Club ambyo ilitoa...
6 Reactions
221 Replies
57K Views
Mtanisaidia kuangalia 70% ya wana muzi wa singeli wanatokea wapi,wana asili ya wapi
2 Reactions
10 Replies
160 Views
KAMA UKITAKA KURINA ASALI USIPIGE TEKE MZINGA Tarehe 7 mwezi wa tano mwaka 1931 kulikuwa na msako wa aina yake wa mhalifu ambao jiji la New York halijawahi kushuhudia. Baada ya msako wa wiki...
2 Reactions
8 Replies
321 Views
S.K.P FEATURING QUEEN DARLINE - MTOTO PILI. Intro: Wa da For Yo.!! Ma This skp Simple Pozi Kwa Pozi ft. Majangili For Over Israel Teacher Boy Nyandu B, Ommy G , Queendareen Chorus: "Mtoto...
0 Reactions
0 Replies
83 Views
ZAHARANI - MAISHA NA MASHAIRI. Verse..1. Hizi mbio sio za Baiskeri , Haiwezi kabiri Kasi/ Tahadhari usije Ukaferi , Mbuzi Amzindi Farasi/ Usiwambie Watu watakucheka/ 😄 🤣 "hahaha " Wengi...
0 Reactions
0 Replies
219 Views
ANTI-VIRUS NA MIAKA 30 YA BONGO FLAVA: KUMBUKUMBU ZINAZOENDELEA KUAMSHA MJADALA Historia ya Bongo Flava haiwezi kukamilika bila kutaja harakati za Vinega wa Anti-Virus, movement iliyotikisa...
0 Reactions
0 Replies
78 Views
Maandalizi ya Kizimkazi Festival itakayofanyika Agosti 12 hadi 14, 2026, yamepamba moto. Tamasha hili linalofanyika kila mwaka linatayarajiwa kuwaleta pamoja wananchi, wadau wa utalii, biashara...
0 Reactions
0 Replies
100 Views
Back
Top Bottom