NYUMBA YA MAJINI
“KAMA kuna watu hawayajui haya nitakayoyaongea basi nawataka kuanzia sasa wajue kwamba, hapa Dar kuna mambo makubwa sana ambayo ukisimuliwa unaweza kusema si kweli, lakini wale...
https://music.youtube.com/watch?v=Lzkj8FYVwQo&si=qy_RfMxgUxZioknh
Haya hapa mashairi yake kwa kiswahili .
Version:1.0 StartHTML:0000000156 EndHTML:0000117645 StartFragment:0000000469...
Wimbo wa "Libala" ulirekodiwa na bendi maarufu ya Viva La Musica ikiongozwa na nguli wa muziki Papa Wemba. Msanii Reddy Amisi alikuwa mmoja wa waimbaji wakuu na nguzo muhimu katika bendi hiyo...
Kama ukichoka kusikiliza nyimbo mpya jaribu kukisikiliza nyimbo za Bongo Flava za kitambo. Zinabring the same vibe + nostalgia
Music is one of the best human inventions
Madee ft Tundaman- Pesa...
Kisa cha kusisimua, ni kisa kitamu chenye mafundisho na kuburudisha pia.
Nimesoma visa na stori kibao humu ziwe ni dhahania au za kweli lakini zimenipa nguvu na faraja kuwa kwenye record...
THE WORST MARRIAGE
SEHEMU YA 01
MWANDISHI:CHIEF
Siku zote asilimia tisini na nane ya wanawake au mabinti hutamani kuwa ifikapo miaka kadhaa, miaka ambayo inasemekana au kuonekana ni wakati...
Kuna muziki wa Africa ambao ni nadhifu sana, lakini ni nadra kuusikia radio, TV, social media, clubs au mainstream.
Mimi napenda muziki kwa sauti, vyombo, vibe, melody, lyrics na production — sio...
KICHWA KINAJIELEZA WIMBO UNAIMBA HV
Nampenda niko serius hata mama anajuaa ila shida mapozi ananenguaa, kuna muda nawaza labda ni utoto hajakuaa+
NAUHITAJI SANA
Kwa mwenye kujua aniwekee link...
Wanajamii Forums, leo naomba tupitie kwa ufupi magwiji wa muziki wa dansi ama Rumba wa Afrika Mashariki na Kati, kazi zao zilizotukuka, na jinsi vizazi vyao vinavyolinda urithi huu wa kihistoria...
Wakuu, habari za muda huu.
Leo naomba tuangalie ukweli mmoja wa kihistoria kupitia sanaa ya muziki: tabia za michepuko ya "kisayansi" na usaliti wa akili nyingi hazijaanza leo na hili jambo si...
Habari zenu,
Hivi huu utaratibu wa Bongo movies kuigiza kwa makundi mnauonaje? Unakuta filamu X ina waigizaji fulani. Filamu mbili tatu za mbele pia nazo waigizaji walewale. Hii imekaaje wakuu...
Muhtasari Rasmi wa Uchambuzi: Gama Nisamehe (DDC Mlimani Park Orchestra)
https://www.youtube.com/watch?v=MC9Ne64M6m4&list=RDMC9Ne64M6m4&start_radio=1
1. 🎼 Utanguluzi, Chimbuko na Siri ya Utunzi...
Hapa chini tuangalie uchambuzi wa wimbo ambao wengi wetu tunaujua kama 'Bandeko Ya Basi', lakini jina lake halisi la usajili ni "12,600 Lettres" (Barua 12,600). Huu ni moja kati ya kazi bora na...
SINA CHAGUO
Simulizi tamu ya maisha, iliyosheheni visa na mikasa ya kuzisisimua hisia chanya za msomaji. Ukafumbuka macho uone, yazibuke masikio usikize kwa usahihi kila kilichotamkwa na...
Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane!
Kwenye haya maisha kuna wakati huwa ninakaa chini na kusema "Kama sikufa kipindi kile,basi siwezi kufa mpaka Mungu atakaporuhusu"
Nadhani wengi...
Uzi huu utakuwa mahususi kwa ajili ya kutuma simulizi hizi mbili kwa wapenzi wasomaji wangu. Simulizi hizo nazo ni: ANGA LA WASHENZI na JOANA ANAONA KITU USIKU mpaka vikomo vyake.
Karibu tufurahie.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.