Baada ya kuanzisha bendi yake na hivyo kuwapa mashabiki moyo kuwa sasa msanii Q-Chillah ameamua kuupeleka muziki wa kizazi kipya katika level nyingine yaani(next level),msanii huyo amegeuka tena...
...Olympic ya walemavu, ufunguzi umeanza leo, BBC1 wanarusha live "spectacular" opening ceremony, Tz tumepeleka wawakilishi huko?
Paralympic Games begin in Beijing
By AUDRA ANG
ASSOCIATED...
Ze Comedy wabwagwa kortini
na Vumilia Kondo
MAHAKAMA Kuu Kitengo cha biashara, jana ilitupilia mbali ombi la kundi la sanaa za vichekesho la Ze Comedy kutaka mahakama hiyo itoe...
nime pata barua ...nika ona ni bora hata nyie muisome muelimike...
September 2, 2008
Dear Kenge mla Mamba
The first thing you have to do is separate your true muses from your false...
Katika pitapita nimekutana na huyu kijana anayejiita Shilingi Hamsini na wimbo wake wa mafisadi! tazama video hapo chini.
http://video.google.com/videosearch?q=mafisadi&hl=en&emb=0#
surly house/londonground and island riddims present.......
**the much anticipated prime international bash in columbus,oh** **a night of your favourite genres and jams and artists**...
Baada ya wiki nzima kukatika na jana Kikwete kuendelea kuwaumiza vichwa watanzania ni bora Ijumaa hii ujiliwaze kwa kujikumbusha na nyimbo za Zilipendwa karibuni sana.
DDC Mlimani Park...
Not too many Hip-Hop releases last week, only Yung Berg made a charts debut at number 20. His album 'Look What You Made Me' sold 19,150 copies.
Reggaeton artist Daddy Yankee moved 25,502 units of...
What are your favorite movie and song classics?
Songs: Kifo-Dr. Remmy Ongala
Mario-nimemsahau aliyepiga (huu ni bolingo)
Let's get it on-Marvin Gaye
Midnight...
Angella kuvuliwa mataji yote?!!
Ni baada ya kukiuka mkataba wa kurudisha taji la balozi wa Redds alilotunukiwa katika fainali za kumsaka mrembo wa Tanzania 2008 ndani ya viwanja vya Leaders...
Hii mijamaa imeingiza mshiko....ikiunganisha hela zao zote tunatatua matatizo kadhaa nchini kwetu.
1. Curtis "50 Cent" Jackson
$150 million
50 Cent has come a long way from...
Mahakama kuu kitengo cha Biashara imelizuia kundi maarufu la vichekesho la Ze Comedy na kituo cha televisheni cha EATV kutumia jina la Ze Comedy kwa shughuli za kisanii wakati kesi kuu ikisubiri...
Oh! poor TID jamani, ndo atakaa ndani mwaka mzima. sijui watakuwa wameshamnyoa nywele tayari? hivi huyu jamaa mbona kosa lake hili angekuwa makini asingefungwa? nina maana kama ange hire a lawyer...
What do you guys think jamaa atafanikiwa? Maana BET imekuwa kama black version ya MTV.
Looking to compete against popular cable network Black Entertainment Televsion (BET), hip-hop entrepreneur...
PREZ KICHAKA AKIWA ANAENJOY THE OLYMPICS GAME... JE MR PREZ ALIKUWA AMESHAPATA KIDOGO? LOOKS DRUNK TO ME!!!!
Please note Laura alivyoamua ku-ignore na ku-save
Katika event nyingine, Barbara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.