Vituko vya W Bush huko Beijing!!

Susuviri

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
3,713
888
PREZ KICHAKA AKIWA ANAENJOY THE OLYMPICS GAME... JE MR PREZ ALIKUWA AMESHAPATA KIDOGO? LOOKS DRUNK TO ME!!!!
AP0808100390.jpg

Please note Laura alivyoamua ku-ignore na ku-save

Katika event nyingine, Barbara alianza kuchukia mapema, babake anawaumbua sana
82244453.jpg

Hapa binti ndo kabisaaa amekereka
82234588.jpg

Imebidi sasa Laura aingilie
82234580.jpg

Hapa sasa familia imesha-resign wamekubali hali... habari ndo hiyo
82244677.jpg
 
Ha ha mimi nilivutiwa na zile picha yuko na wachezaji wa Volleyball inaonekana Dubya aliienjoy sana.
 
Duh! Hii Kali! Bush ameshakuwa bwege 100% naona hata handlers wake wamemkimbia, amebaki Laura peke yake... na yeye pia amesha-give up. Haya Mr Prez, ndo nini hii sasa?
AP08080901576.jpg

Alafu sijui alidondoka wapi, lakini naona hana hata habari kwamba ameumia yuko mesmerized na mabinti... hii kazi kwelikweli
5__us_olympics_bush.jpg

Haya sijui vituko gani vitaibuka tena!
 
Hivi Bush bado yupo Beijing? Anyone? Maana naona tutaenjoy sana picha zake.
 
Lakini unajua inatisha! Yaani NUmber 1 of the most powerful nation ni mbumbu hivyo! No class! Kumbe ndo maana uchumi wa dunia nzima inasuasua! Afadhali angemwachia Laura aendeshe nchi!
 
PREZ KICHAKA AKIWA ANAENJOY THE OLYMPICS GAME... JE MR PREZ ALIKUWA AMESHAPATA KIDOGO? LOOKS DRUNK TO ME!!!!
AP0808100390.jpg

Please note Laura alivyoamua ku-ignore na ku-save

Katika event nyingine, Barbara alianza kuchukia mapema, babake anawaumbua sana
82244453.jpg

Hapa binti ndo kabisaaa amekereka
82234588.jpg

Imebidi sasa Laura aingilie
82234580.jpg

Hapa sasa familia imesha-resign wamekubali hali... habari ndo hiyo
82244677.jpg

Kinywaji kimemkolea barabara, hana wasiwasi kabisa anajua kabakisha miezi 5 tu kabla ya kumaliza awamu yake ya pili. Ataacha kauvurunda uchumi wa US na reputation yake duniani.
 
Lakini unajua inatisha! Yaani NUmber 1 of the most powerful nation ni mbumbu hivyo! No class! Kumbe ndo maana uchumi wa dunia nzima inasuasua! Afadhali angemwachia Laura aendeshe nchi!

Na wewe bana...sasa ku-have a good time na umbumbumbu vinaendana vipi? Mwenzako alikuwa huko kufurahia wewe unataka awe serious muda wote....wee vipi bana? Hebu mwache conservative hero wetu wewe......mfuate Edwards huko na baby mama skendo yake...
 
Lakini unajua inatisha! Yaani NUmber 1 of the most powerful nation ni mbumbu hivyo! No class! Kumbe ndo maana uchumi wa dunia nzima inasuasua! Afadhali angemwachia Laura aendeshe nchi!

Wewe unajua maana ya mbumbumbu? hivi haya ya uchumi wa dunia nzima unasuasua yanatoka wapi unaweza kufafanua?
 
Lakini unajua inatisha! Yaani NUmber 1 of the most powerful nation ni mbumbu hivyo! No class! Kumbe ndo maana uchumi wa dunia nzima inasuasua! Afadhali angemwachia Laura aendeshe nchi!

Mindset yako ya ubongoni kwako ipo "ki bongo bongo"; mwenzio Bush yupo liberal kwa hiyo, ni Westerner! Wewe wale wanawake walivyomwinamia kinyume nyume na alivyo wakumbatia basi hiyo akiri yako ishafikiria negatively! Hivi hujawhai kwenda kule beach zetu ukakumbatiana ka watu kama hivyo? Please wash your thinking!
 
Mwanamume yeyote rijali angefurahia kuwa katikati ya totoz kama hizo....huyu Susu sijui vipi....
 
Susuviri,
Olympic is equally important as politics and economy; Chinese invested about USD 40 billion for olympics; iimproved all city of Beijing infrastructure.
An important question to ask yourself: How we as Tanzanian are learning [how] to exploit the spirit of olympics! Those Medals, gold, silver and bronze; why we as a nation are not exploiting such opportunity; we are watching games which do not involve us. We cannot even run, weight lift, swim etc etc!
 
Sijaona tatizo lake..ameamua kuenjoy, ambapo pia inaongeza morali kwa wawakilishi wa nchi yake na ndiyo maana wanazikong'oli hizo gold medal kinoma.
 
Hmmm inanikumbusha ile picha ya JK na miss fulani IKULU watu walishikia bango oooh badala ya kufanya kazi anapiga picha na miss mara hivi...
Ila inaonekana Dubya aliienjoy sana na aliyedesign hizo volleyball uniform za timu ya wanawake abarikiwe.

Wakati yote hayo yanaendelea Georgia ilikuwa inashindiliwa mabomu lol...
Susuviri Dubya alirudi Washington jana.
 
wabongo ndo tulivyo wao walitaka awe amenuna hadi kwenye michezo sasa nini maana ya michezo??hawajui hao maana ya michezo.
 
Pamoja na mapungufu yake kama binadamu, Bush ameonyesha ukomavu wa hali ya juu kutetea bila kuyumba anayoamini kuwa ni sawa k.m.

1. Amepiga vita ushoga bila kuogopa athari kwa mwanasiasa yeyote kudiriki kufanya hivyo na hasa Marekani.

2. Ametetea ufamilia si tu kwa kuongea lakini kwa kuonyesha na kuwa mfano bila kuhusishwa na kashfa kama waliomtangulia.

3. Pamoja na matukano na dharau dhidi yake, ameendelea kuchapa kazi na kupambana na bunge "hostile" bila kusita wala kuyumba.

4. Amefanya maamuzi mazito ambayo yataacha historia siku nyingi baada ya yeye kuondoka.

5. Hakuruhusu uzito wa kazi na maamuzi kumfanya akose muda wa burudani kila ilipowezekana iwe Afrika au China kama anavyoonekana kwenye hizo picha.

7. Ameweka historia ya kutoa nafasi za juu na nyeti kwa weusi katika serikali yake zaidi ya maraisi waliomtangulia

8. Kwa huo utendaji wake ameweza kujizolea maadui lukuki ndani na nje ya Marekani kuliko kiongozi mwingine kabla yake.

9. Ameweza kuyeyusha nguvu walizokuwa nazo "Hollywood" Na "Mafia" katika ku"influence" siasa za Marekani.

10. Wakati ameweza kumtoa Saadam Hussein pangoni, amefaulu kumwingiza pangoni Osama Bin Laden.

Hakika nampenda Bush.
 
Susuviri,
Olympic is equally important as politics and economy; Chinese invested about USD 40 billion for olympics; iimproved all city of Beijing infrastructure.
An important question to ask yourself: How we as Tanzanian are learning [how] to exploit the spirit of olympics! Those Medals, gold, silver and bronze; why we as a nation are not exploiting such opportunity; we are watching games which do not involve us. We cannot even run, weight lift, swim etc etc!

Weighlift? na lishe tuliyonayo ukijumlisha na genetics, we're just not suited for it.
 
....and to think Bush gave billions of dollars in aid to Africa only to be lampooned in here.
 
Back
Top Bottom