kuna haja ya kupiga kelele mwanamuziki akifariki?

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,899
3,390
wakuu nashangazwa na tabia moja ya kutangaza na kusikitika sana ikitokea mwanamuziki ametutoka
huyu kasoloo kyanga alikuwa na hali ngumu sana kimaisha na hakuna hata mtu mmoja hasa kwa nyie mnaotangaza kwa bidii aliyejitokeza kumsaidia katika uhai wake
nashangaa sana unafiki kama huu utaisha lini
tulikuwa na moshi william naye ilikuwa hivyo hivyo makelele mengi baada ya kuondoka duniani
kuna wizara ya sanaa wao wanafanya nini kuwasaidia kimaisha hawa watu muhimu kabisa
ulimbukeni umewazidi na mavitambi ya taa za dunia
 

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,899
3,390
wasimamizi wa idara yenyewe wana njaa watamkumbuka nani,kila mtu na mzigo wake nchi hii
 

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,220
7,099
Waswahili na unafiki utatuweza,hata kwenye siasa utasikia nani ameacha pengo kuubwa na taifa sijui limemkosa mtu makini na ... misifa kibao,lakini alipokuwa hai hakuna yoyote aliyekuwa anamjali
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom