TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,873
- 11,253
nampenda sana dogo,anajua anachofanya nilidhani yangemkuta ya Blue alipoondoka kwa G ila dogo kakaza ile mbaya!yeah... i think ana very good advisers
mi napenda umbo lake sana
hahahahaah unatupima au...kwani anashika wapi!Halafu dushelele maana yake ni nini????????
hahahahaah unatupima au...kwani anashika wapi!
mh.. sasa wewe umeenda mbali, ni najua mshedede ndio hapo anaposhika, dushelele ni nick name ya mtu
sijenda mbali hata chembe...hiyo ni kwa mujibu wa mmoja wa watu wake wa karibu,nami nilidhani nimetaniwa ila baada kuona aina ya uchezaji wake nikaanza kuamini,labda ni tofauti na nilivyoelezwa!!!mh.. sasa wewe umeenda mbali, ni najua mshedede ndio hapo anaposhika, dushelele ni nick name ya mtu
shindwa...sina ukame wa aina hiyo mpaka niwaze mishedede....usintafute niongee wakati nanyonyesha hapa!shosti huwa anawaza mishedede 24/7 lol
kuna verse ya Ali wa leo, na nyingine ya dushelele wa leo...sijenda mbali hata chembe...hiyo ni kwa mujibu wa mmoja wa watu wake wa karibu,nami nilidhani nimetaniwa ila baada kuona aina ya uchezaji wake nikaanza kuamini,labda ni tofauti na nilivyoelezwa!!!
hahahahhahahaahh haya bwana!!!!kuna verse ya Ali wa leo, na nyingine ya dushelele wa leo...
Ila we nawe mkaree aisee, yani ume-centralize kabisa mawazo?