HITS ZA 70'S-80's...msaada

Triple G

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
2,394
2,883
Poleni kwa majukumu ya kila siku wana Jf.

Mimi ni kijana ninayependa hits(muziki) zilizopigwa na miaka ya 70's hadi 80's na wanamuzuki mahiri kabisa kama akina chaka khan(Ain't no body), carl douglas(kung fu fighting) na wengineo na pia nilikuwa mfatiliaji wa kipindi cha JukeBox kile cha Chanel 5.

Kwa ambao pia ni wapenzi wa miziki hiyo naombeni majina ya wanamuziki pamoja na nyimbo zao zilizo hit miaka hiyo..

Nawasilisha jamani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom