Nyimbo za siku izi hazina guarantee by Mrisho Mpoto

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,525
2,000
UYu jamaa anahojiwa apa TBC akasema nyimbo za siku izi hasa za bongo flavour hazina guarantee hasa mnapokuwa barazani mumekaa kama familia mnaweza ishia kuzima TV ivi ivi
Akakazia ukisimama posta huwezi zani kama uko Tz
Mimi nyimbo zako naizifia sana hasa ule wa Mjomba na wa Adela
Sourec TBC~Lulu za kiswahili
 

The Priest

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,032
1,500
Namsikiza anajua lugha yetu bwana,kiswahili ni lugha yetu tukipende sote,anasema eti "Fikra sahihi huja kwa lugha sahihi" "Hukushiba kwenye chungu! utawezaje kushiba kwenye sahani?"
 

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,631
1,250
Kuna mtu aliwahi sema hizi nyimbo ni sawa na Big G, akimaanisha chew gum.
 

Bornvilla

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
924
195
Namshauri mashairi yake ayaweke kwenye kitabu ili baadaye kitumike mashuleni,kwani mashairi yake ni fasihi tosha kwa maisha ya mtanzania. Mjomba kama yumo Jf anijibu kuhusu hili. Namtakia sanaa njema.
 

mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,795
2,000
kwakweli wasanii wetu inabidi waige mifano ya wenzetu hawaelewi tu maana ya kuletwa kwa msanii mgeni ni kwamba wajifunze vitu kutoka kwao yani ujio wao uwe kama inspiration kwao,
wao wakienda nje utaskia tumefanya shoo bab kubwa kumbe ni ndani ya kisebule tun cha mbongo aishie huko
 

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,531
2,000
Mashairi ya mpoto kama unashule ndogo kichwani hauwezi kumuelewa.
 

jouneGwalu

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
2,683
1,250
Mpoto Mpoto.....
Huyu jamaa ni wa kawaida tu.
Sema wabongo wengi sio watu wakufuatilia sanaa...
Wangapi tunajua kuwa wimbo uliomtoa wa "mjomba"
Aliuchakachua tu coz ye alishirikishwa na IRENE SANGA ??
IRENE SANGA ndiye aliyeandika ule wimbo wa "mjomba" wote......
Kalewa sana sifa huyu jamaa saiv hata hataki ku-recognize kuwa ye ni sehemu ya kazi za watu "Parapanda Art"
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom