Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Hili goma lilikuwa ni kali lilipendwa sana kanda ya ziwa na kwingineko nilisikia kuna tajili mmoja wa Kenya aliwatafuta waimbaji wote waliopo hai na kuimba nyimbo zote upya na kuziweka on video...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
l http://youtu.be/4gTAAduiW3Y Kwa mlio mbali na nyumbani, haijalishi upo Dar na kwenu Kigoma, upo Lindi na kwenu Mwanza au upo Norway na kwenu ni Congo.This one is for you. Enjoy. T
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau na wapenzi wa muziki wa hip-hop tujadili track kali ambazo zinasumbua masikio yetu kupitia redio zetu na macho yetu kupitia Tv zetu: Mimi napenda hizi zifuatazo: 1.''how to love''- Lil...
0 Reactions
11 Replies
10K Views
Prodyuza na mmiliki wa studio ya Combination Sound, John Shariza a.ka Man Walter amezitaja sababu zilizomfanya msanii 20% kutokwenda kwenye studio yake. Msanii huyo ambae ameandaa albamu yenye...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
CONRAD MURRAY found guilty for supersatar's manslaughter. The jury deliberating the fate of Michael Jackson's doctor has found him guilty of involuntary manslaughter. Conrad Murray,58,was...
0 Reactions
3 Replies
937 Views
Hi! Jf,kati ya ferouz,na Tundamani nani mkali wa ngoma za kulialia? Ferouz amelia ngoma kibao,tangu DazNundaz,mpaka alipatoka kivyake..msikie Tunda anavyolia pale Tiptop connetion...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Hakika ile shoo iliyopigwa na muheshimiwa Sugu akishirikiana na Vinega kweli nimemkubali huyu muheshiwa mbunge aliturusha mpaka nimeburudika vya kutosha! Sasa namtaka kijana Ruge akubali yaishe na...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
kwa wale ambao hawakupata nafasi ya kushuhudia uzinduzi wa anti virus leo itaruka hewan katika kipindi cha planet bongo cha eatv, ukweli utajulikana na tutajadiri maswala mengi ya msing tu karibun...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wakuu huwa napenda sna documenatry sababu ni syry za ukweli. Juzi juzi nimetazama documenatry moja ya kusisimua yenye tittle kama kichwa cha habari . Inasikitisha sababu kijana mdogo sababu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Have you visited me ? Kids Fun Spots, Shopping areas, Movies, Bar and Lounge, Supermarket etc etc.. Click on the Like button to join the fan page and share with friends and family ;-) Here is...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sister P akikamua Zay B jukwaani Daz baba akifanya kweli DJ Sox akifanya mambo yake Mkoloi akiwa kazini Mr Simple, Diwani wa Ticket ya CHADEMA Mashabiki wakipagawishwa Sugu...
3 Reactions
6 Replies
4K Views
Wakuu sasa nimeamini rasmi kweli kwenye vita ya haki ushindi ni lazima, hii ni kufuatia Tamasha kubwa la Anti Virus with no apology na kufana kupita maelezo, leo kwa mara ya kwanza asubuhi hii...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Dawa pekee inayoweza kuwadhibiti CHADEMA ni kupiga marufuku viongozi na wanachama wao kufikiri. Maana kila mara dola inapojiona imeweza kiukweli ndo inakuwa ndo bado kabisa. Kama ni mechi basi...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu watanzania wa kweli. Jana nimewasikiliza vinega kupitia FNL kusema ukweli wamenigusa sana nusura nitoe chozi jinsi wasanii wa bongo wanavyodhulumiwa. Mi mwenzenu leo mapemaaa naenda...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Usipime vinega jana walitisha aliekuwepo mwingne nae aseme SUGU noma
0 Reactions
35 Replies
5K Views
mnyamwez Fabulous dj ziro Gangwe mob THT dancers Wanaumeeeeeee Suka na Fella Barnaba Afane sele international stage nyomiiiiii Jay moe na mchizi mox picha zote na...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu kuna miziki natafuta video au auio zake lakini tatizo sikumbuki majina ya bendi. Kuna kundi moja na west africa lilipiga muziki huku waadada wakikata mauno kwenye maji. Anyekumbuko ule...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama msanii unafanya kazi nzuri,basi itapendwa na itanunuliwa...hata kama clouds wasipoicheza nyimbo yako kama ni nzuri si itachezwa tu kwingine?! Kama msanii ni mahiri,mweledi wa taaluma/sanaa...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Haya jamani waliopo ktk ukumbi tupeni mambo nini kinaendelea ktk ukombozi wa wasanii walionyonywa kwa mda mrefu
3 Reactions
232 Replies
23K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…