Kilimusic Awards Joke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilimusic Awards Joke

Discussion in 'Entertainment' started by ngalikikinakiki, Feb 13, 2012.

 1. ngalikikinakiki

  ngalikikinakiki Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Nawaonea huruma sana hawa waandaaji wa Kilimusic Awards. Nawaonea huruma kwa kuwa ni wazi wanaishi ulimwengu mwingine. Music industry ya nchi hii imetawaliwa na utapeli rushwa na umafia kiasi cha kwamba hatimae muziki unakuja sikika kwa watu si kwa kuwa ndio the best uliorekodiwa bali kwa kuwa ndio uliokuwa mikononi mwa wanaoweza kuutoa hewani. Hivyo basi nyimbo nyingi zilizotolewa kwa ajili ya nominations ni takataka tupu kimuziki japo zinafurahisha kama unajua kiswahili.... kuna muziki gani katika Hakunaga? na ukweli katika asilimia kubwa ya bongoflava, ukimwondoa muimbaji muziki hauna kitu, na waimbaji wengine si wazuri ila pengine maneno yao ndo yanafurahisha, sas nyimbo za hivi ni vichekesho katika soko la muziki la dunia. Na kwa kuwa watayarishaji wameng'ang'ania kutokutumia wataalamu wa muziki na kuona ma radio DJs (aka mameneja wa wasanii) kuwa ndio wataalamu lazima wakubali lawama zitakazo waandama. Na natabiri kifo cha KILIMUSIC AWARDS RASMI
   
Loading...