Malipo ya king'amuzi cha Dstv yanatisha

Kiumbe duni

Senior Member
Dec 3, 2011
100
8
Dstv siku hizi kila kukicha wanapandisha gharama ya malipo ya king'amuzi chao, je kampuni hii imeshakuwa ya kifisadi? Kwa sasa malipo yamefikia shilingi 180,000/: kwa mwezi, huu c unyonyaji! Hawaoni kwamba tunawafanyia Kazi wao, ama kweli kaburu ni kaburu hata ukimpaka rangi habadiliki. Wadau nauliza hakuna mamlaka inayoweza kuzibiti unyonyaji huu?. Nawasilisha.
 
Hayo ni matokeo ya kutokuwepo kwa ushindani wa kibiahara. Startimes wamefulia. Yakija makampuni mengine watashusha mpaka hamsini kwa mwezi.
Ni kweli ni ghali mnooooo ila pia haujalazimishwa.
 
Tena wanalazimisha malipo yafanyike kwa dola ya kimarekani. Kwao Africa Kusini kila kitu ni kwa Randi yao. Biashara ya Balozi Ami Mpungwe na wenzake. Haiguswi.
 
Kuna alternatives kibao,,,,tuache ambao DSTV ni basic need tuendelee kufurahia. Kwako kma ni Luxury unaweza kuopt local ving'amuziz!!
 
Dstv siku hizi kila kukicha wanapandisha gharama ya malipo ya king'amuzi chao, je kampuni hii imeshakuwa ya kifisadi? Kwa sasa malipo yamefikia shilingi 180,000/: kwa mwezi, huu c unyonyaji! Hawaoni kwamba tunawafanyia Kazi wao, ama kweli kaburu ni kaburu hata ukimpaka rangi habadiliki. Wadau nauliza hakuna mamlaka inayoweza kuzibiti unyonyaji huu?. Nawasilisha.

Mwambie mbunge wako .... gharama za maisha zimepanda. the highest charge for DSTV is $88 PREMIUM DUAL VIEW hiyo laki themanini umelipa wapi?
 
Tena wanalazimisha malipo yafanyike kwa dola ya kimarekani. Kwao Africa Kusini kila kitu ni kwa Randi yao. Biashara ya Balozi Ami Mpungwe na wenzake. Haiguswi.

I hate this Wildcard, am glad u mentioned this dollar thing. Ukifika unaambiwa exchange rate sijui leo shs ngapi...exchange rate my foot!

Nimewahi kumuuliza mmoja wa staff pale akasema tuna huduma nzuri ila pia kama sio sisi mtaenda wapi! Huduma nzuri kweli ila ikianza radi na mawingu wanapotea. Shame!
 
Mwambie mbunge wako .... gharama za maisha zimepanda. the highest charge for DSTV is $88 PREMIUM DUAL VIEW hiyo laki themanini umelipa wapi?

Kwanza unatakiwa ujue sio wote wanaolipia kwa dola, pili kwa wanaoangalia majumbani au wanaoonyesha bila kiingilio wanalipa 120,000/: na wanaotoza kiingilio wanalipia 180,000 kwa mwezi. Kama unataka risiti njoo nikuonyeshe.
 
Mwambie mbunge wako .... gharama za maisha zimepanda. the highest charge for DSTV is $88 PREMIUM DUAL VIEW hiyo laki themanini umelipa wapi?

Mwambie mbunge akusaidie kama wafanya biashara!!!! huna diwani mbunge au rais?
 
wenzi wamechakachua dstv wanaangalia bure, we unahangaika na kulipia. njoo mjini dar uone watu wanacheki kitu bureeeeeeee! tafuta mbadala wa abu dhabi sprts wao ni cheap mfano hakuna
 
Thanks a lot my friend, kwa ushauri mzuri. Nasikia siku hizi watu wengi wanakamua free, hebu niambie hao vishoka wanatoza kiasi gani?

Inategemea na sura yako......ukija kibosibosi bei inapanda.......lakini ni kama Tshs 100,000 hivi....ni PM nikupatie mmoja ila usije kumkamata tu.....manake watu wengine wanoko kwelikweli
 
Back
Top Bottom