Hii Nyimbo Ya Dully Sykes Inahamasisha Wizi/Ukabaji Ipigwe Marufuku. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii Nyimbo Ya Dully Sykes Inahamasisha Wizi/Ukabaji Ipigwe Marufuku.

Discussion in 'Entertainment' started by Michael Scofield, Feb 14, 2012.

 1. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kuna nyimbo mpya ya msanii Dully Sykes, Inahamasisha vijana kukaba na kuiba.
  Sasa sijui hapa jukumu ni COSOTA au CHAMUDATA lakini ilitakiwa kabla vitu hivi havijaruhusiwa kusikilizwa na kutazamwa wavikague kabla hawajaruhusiwa kurushwa hewani.

  Bahadhi ya maneno ni kama hivi
  "Umezipata jirushe, Umezikosa Usijute" Jichange change Iba,Kaba mradi bati Usikose!

  Sasa kwa maneno kama haya sijui ndio yanafundisha ama yanaburudisha.?
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Yanaburudisha. Kila siku mafundisho si tutachoka!!
   
 3. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #3
  Feb 15, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Wimbo - song
  Nyimbo - songs
   
 4. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #4
  Feb 15, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kama ndiyo hivyo basi kuna haja ya kupigwa marufuku
   
 5. ze encyclopedia

  ze encyclopedia JF-Expert Member

  #5
  Feb 15, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 271
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  tz true, inahamasisha kuiba na kukaba ili watu hasa vijana wakajirushe......................................
  km vp cosota imulike kwa umakini.
   
 6. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #6
  Feb 15, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,482
  Likes Received: 12,743
  Trophy Points: 280
  mbona umechanganya lugha? Ama huelewi na wewe kwa kiswahili?
   
 7. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #7
  Feb 15, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  "Nyimbo ya", "Nyimbo mpya ...", "Nyimbo imetoka ...", "Nyimbo imetengenezwa na ..." ????????:hatari:

  "Wimbo wa ..." , "wimbo mpya ...", "wimbo alioshirikishwa ...", "wimbo huu ..."
  :A S-coffee:

  Tunaweza kujifunza?
   
 8. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #8
  Feb 15, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kwenye miaka ya tisini Dr. Remmy Ongalla aliimba wimbo wa mambo kwa soksi! Serikali ya Mwinyi ikaupiga marufuku ule wimbo eti unahamasisha watu wafanye zinaa.
  Wakati alikuwa anawahamasisha watu wasifanye ngono zembe!
  Huyu Dully anahamasisha vijana wakabe, waibe mradi wakajirushe. serikali iko kimya.

  Hivi kazi ya haya mabaraza COSOTA, BASATA, CHAMUDATA yana kazi ipi?

   
 9. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #9
  Feb 15, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Badala ya kuchangia ujumbe uliomo katika topic, unaangalia mtu amekosea kuspell...!
  Ndio uwezo wa akili yako kufikiri ulipofikia hapo? au wewe unaona sawa huyu dogo anavyohamasisha vijana watukabe?
   
 10. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #10
  Feb 15, 2012
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Huwa nawasikia presenters wa radio mawingu wakitumia hayo maneno,kwa vijana kama mleta mada anaweza asione tatizo as long as "role models" wao (radio mawingu) wanatamka hivyo pia!
   
 11. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #11
  Feb 15, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,992
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Usilalamike mkuu bali mshukuru kwa kukukosoa.
   
 12. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #12
  Feb 15, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Muhimu hapa ni kunikosoa au kumkosoa huyu anaewaambia vijana waibe, wakabe mradi wajirushe?
  kusema Nyimbo badala ya wimbo, imesababisha nisieleweke au niaje?

  Alafu hizi hizi kukiwa na matamasha ndio wanazipiga, Dogo kafeli mtihani anasikiliza redio inamuhamasisha akabe akajirushe, au aibe.

   
 13. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #13
  Feb 15, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Labda nao ni wezi poia!!!...
   
 14. m

  moshingi JF-Expert Member

  #14
  Feb 15, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nchi hii yapo mambo ya kushangaza sana...ule wimbo wa manung'ayembe uliokuwa unahamasisha
  ndoa na kupiga vita ukapera ulipigwa marufuku kwa vile tu baadhi ya wanawake...wanasiasa,wanaharakati
  na wenye fedha nyingi hawajaolewa...wamebaki wanahangaika...wakaacha kabisa kuangalia maudhui mazuri
  ya wimbo ule...hivyo sasa wasanii wanatunga nyimbo zisizoisadia jamii...Hawa akina Dully Sykes wakafundishwe
  kufikiri kwanza maana hajawahi kuimba jambo lenye kumfanya mtu afikiri japo kidogo...MPOTO saidia ndugu zako
   
 15. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #15
  Feb 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  hauna tatizo,huo ni mtazamo wako tu,ni nyimbo ngapi zinaimbwa huku zikiwa na mistari ya kuhamasisha mapenzi,au uvutaji wa bangi,na bado zipi hewani-sembuse huu,
  Pia swala la kuiba ni tabia ya mtu,hao walioiba BOT walisikia huu wimbo ndo wakaiba?
   
 16. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #16
  Feb 15, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Ametumia fasihi!!!!IBA akimaanisha jiajiri!!!KABA akimaanisha tafuta mkopo bank au saccoss!!!!!
   
 17. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #17
  Feb 15, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,570
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Mpendwa just do some interview with him, you may get some exciting meaning about those words....

  Just see the below twist


   
 18. dwight

  dwight JF-Expert Member

  #18
  Feb 15, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  wewe unafikiri kama spelling zimekosewa ujumbe utafika?
  Shirikisha ubongo kabla ya kubwabwaja!
   
 19. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #19
  Feb 15, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,992
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Hapa me sina swali.
   
 20. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #20
  Feb 15, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Alitumia kichwa cha chini kuutunga huu wimbo
   
Loading...