Banza Stone na TOT

Kahamba

Member
Nov 1, 2010
58
16
Wadau heri ya mwaka mpya!
Tafadhali, mwenye kukumbuka/kujua jina la rekodi hii aliyoimba Banza akiwa na TOT naomba anisaidie. Rekodi ni ile isemayo: Majungu si mtaji.......Majungu si biashara..........Msimamisheeeee................
 
Kama sikosei ni "Elimu ya Mjinga"
 
ndio wimbo unaitwa elimu ya mjinga ni majungu.kipindi hicho banza stone na Ally choky walikuwa chui paka,kweli wagombanao.....

Asante wadau, nilifanikiwa kupata rekodi hii walau Audio ingawa bado natafuta video yake. Ni kweli inaitwa Elimu ya Mjinga.
 
Back
Top Bottom