contact za shilole msanii

contact za shilole msanii

frozen

Senior Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
135
Reaction score
32
Wanajamii, naitaji kupata contact za shilole, mwenye number yake ntashukuru ak ni PM, au kama anafahamu username anayotumia facebook,
Asante
 
Unataka kufanya nae collabo kwenye mziki au movie? Weka lengo lako usije ukajamkill mtoto wa watu.
 
Contact zake;
Shilole
c/o Fabian Shilole
P.O BOX 25
DSM
Plot 152 A
Phone : +255 755 777 7777
Facebook : Shilole
 
Yah number ya simu ni ya uongo, plz mwenye contact zake aweke plz
 
wadau bado natafuta contact za mdada msanii shilole, lengo nataka wasiliana nae kibiashara, plz mwenye contact ni PM, asantn
 
Back
Top Bottom