Hivi karibuni kumekuwa na mambo yanayonipa shida kidogo. Utakuta bendi ya muziki inatangaza kuwa itapiga shoo mahali fulani na shoo hiyo itakuwa mpaka majogoo (karibu na asubuhi). Cha kushangaza...
Habari wana JF,
Mara nyingi hua siwaelewi hawa ma dj au ma presenter wanaocheza miziki onair,chakushangaza miziki ya mtoni wanacheza clean version(ambapo watanzania wengi hatuelewi...
habari zenu wandugu poleni na pilikapilika za xmas, naombeni kujua kama 24 wamesharelease new season katika series yao as nimekuwa nikiona advertisements ITV abt the coming 24 ambayo binafsi hizo...
Jana VINEGA wa Antivirus wakiongozwa na kinega mwandamizi SUGU (joseph wa sae),walidhihirisha kuwa hiphop bado ipo juu na haiwezi kufa kama baadhi ya wadau wanavyodai,Vinega waliingia uwanja wa...
Ni mji pekee baa na pubs hazifungwi kwa muda uliowekwa kisheria. Polisi wako bize na CDM tuuu na rushwa zinazowafanya wasahau kuwa sheria hii ina maana. Source Mfamaji.
wadau nipo ndan ya mby for x mass nimekutana na show ya aunt virus ambayo inafanyika leo kuanzia saa 10 had saa 6 lakin kutokana na mvua zinazonyesha katika jii hili inaelekea wakapata mswak coz...
Ni mji pekee baa na pubs hazifungwi kwa muda uliowekwa kisheria. Polisi wako bize na CDM tuuu na rushwa zinazowafanya wasahau kuwa sheria hii ina maana. Source Mfamaji.
Christmas is a day created by capitalists to increase public spending. HALLOWEEN NIGHTS, BEER FESTIVALS, MOTHERS' DAYS ETC ETC. Do we need all those? A peasant unlike celebrities spends an...
Tembelea www.rogers.wen.ru utapata Nyimbo mpyaaaa za Bongoflava,Injili(Gospel),Hip hop. Pia utapata Kaswida,Bakulutu,Nyimbo Za zamani za Bongo and much More Visit www.rogers.wen.ru
Kwa Mheshimiwa
Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo.
WIZI WA KAZI ZA SANAA.
Mheshimiwa nategemea usalama na unaendelea vizuri na kazi. Mimi si mgeni kwako, nimeshafika ofisini kwako...
WanaJF,
Naomba kupata tafsiri ya nyimbo zilizomo katika albam ya Makhirikiri iliyoandaliwa na Wabotswana. Tafsiri inaweza kuwa ya kiswahili au hata kiingereza.
Natanguliza shukrani.
MpigaKelele.
Msanii wa kizazi kipya kutoka Arusha maarufu kwa jina la JCB amewaomba msamaha waislamu wote kutokana na kutunga wimbo wenye baadhi ya mistari ya Quran. Kitendo hicho kiliwaudhi waislamu na...