..just like a tree planted, planted by the river of the water that bringeth forth fruit, bringeth forth fruit in due season,
everything in life got its purpose, forever yeeeah!!
Kweli Mungu...
KAMA hujatembelea jengo jipya la biashara la Quality Centre lililopo Barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam, basi tembelea leo kwani unapitwa na mambo mengi.
Kuna hii kitu ya kutisha , jingo...
Wadau naomba mnisaidie kupata number za wahusika wa bendi hizi
B-Band and Banana Zorro
Inafrika Band na Wanne Star
Kilimanjaro Band
Please wadau nisaidieni
Wadau kuna kiuno toka mombasa mji wa kimapenzi mmewahi kukutana nayo hii kitu?unaweza toa ahadi ya kumjengea mtu meli badala ya nyumba...!wanawake inabidi wajitahidi sana hasa walio ndani ya...
Msaada jamani, wapi nitapata huduma ya channel (hii/hizi). Nimekuwas nazisikia kutoka kwa watu mbalimbali ikiwemo hapa jamvini. Kwa yeyote anayefahamu jinsi ya kuipata anijuze tafadhali.
'usiache ulichohitaji maishan, gafla ukafuata ulicho taman' (ielewe mitaa)by fid q. Mchaga alalimacho kwenye salary daima(chapchap or pure namba) by one the incredible. Ase hawa ndo mcz wanayo...
originalate from Congo,zamani Leopadiville then Zaire now DRC!
Hakuna acye jua ubabe na manjonjo ya muziki ya ki Congo!
Kwa ufupi:
MWENYE SHIDA NA HII MIZIKI,LABDA ALIITAFUTA KWA MUDA MREFU...
Clouds FM is among the first FM radio station in the United Republic of Tanzania established in 1998. It was the first radio station in Tanzania to cater for full entertainment approach...
Ukistaajabu ya walimwengu.....
Mtafiti mmoja huko Australia ameamua kumpa nzi aliyekua amesahaulika katika insect collection toka akamatwe mwaka 1981, jina la Scaptia (Plinthina) beyonceae. Eti...
Pata picha ya kilichojiri leaders club leo wakati wa hafla na dua/maombi maalum ya kila mwaka kuwakumbuka watu wa mjini waliotangulia mbele ya haki kutoka BRITISH LEGEON,SAIGON KARIAKOO,TAZARA...
Heshima kwenu wakuu.
Yule mwanamuziki mahiri mwenye sauti ya dhahabu Kasalo Kyanga amefariki dunia leo.
Kasalo Kyanga atakumbukwa sana kwa tunzi zake nzuri tangu akiwa Matimila,Toma Toma,Tancut...
Majumba ya sinema: kumbukumbu iliyopotea
Send to a friend
Thursday, 12 January 2012 12:53
Na Charles Kayoka
Mwananchi
Naanza kwa kumshukuru msomaji mmoja aliyenidokeza kuwa kuna...