jaxonwaziri
JF-Expert Member
- Feb 17, 2010
- 375
- 195
Halafu uniambie watanzania tuna akili: Ahadi - 90 Mil, Gharama za Mazishi - 70 Mil, Salio alilopewa mama wa marehemu baada ya msiba - 4 Mil. Yaani mbwembwe zooote za kufanya mazishi ya ufahari, majukwaa,magari, sare za suti, t-shirts, mabaunsa wa ulinzi, jukwaa Leaders, magari ya kubeba mwili wa marehemu mawili mawili, na pengine mafuta kwenye gari za wanakamati wa msiba kipindi chooote cha msiba...mnakuja kumpa mama wa marehemu 4 Mil. Shame on you! Ndio maana watanzania mastaa wanakufa masikini, kama mtizamo wao kimatumizi upo hivi...