Salim Mhina
Member
- Apr 15, 2012
- 24
- 5
Msanii aliye katika nafasi ya juu katika medani ya music wa kizazi kipya (bongo fleva) Naseeb a.k.a Diamond ameibuka na tuzo tatu katika mashindano yanayoendeshwa na kuratibiwa na bia ya KILIMANJARO (KILL MUSIC AWARD).Tuzo hizo amezinyakua katika nafasi tofati ambazo ni:
1)Mchezaji bora wa mwaka jukwaani,
2)Mtunzi bora wa mashairi na
3)Video bora ya mwaka.
Msela kajitahidi sana na tunamtaka aendelee kukaza buti.Big up Diamond
1)Mchezaji bora wa mwaka jukwaani,
2)Mtunzi bora wa mashairi na
3)Video bora ya mwaka.
Msela kajitahidi sana na tunamtaka aendelee kukaza buti.Big up Diamond