merlin season 5????

beibe nasty

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
1,640
523
guys how are u humu ndani? Me im gud nimetoka church but leo nilikuwa na wazo hili kuhusu movie ya merlin hope mmewah tazama n walisema season 5 itatoka mwisho wa march so nauliza jaman wenzangu meiona au hata net labda?
 
Mkuu that's my favorite show, nachojua mimi ni kwamba Mwezi march they'll be filming season 5, but It'll be aired by September or October. So don't expect this soon. That's what I know.
But don't worry will keep u posted, wakianza tu ntakuPM.
 
thank uuu dear yan memic arthur pendragun,gweanevea, merlin mwenyewe n gayas without forget soccorers stuffz
 
mmmh ilikua kenye laptop so sijajua kama my frend kaifuta au laa uliishia wapi dear
 
thank uuu dear yan memic arthur pendragun,gweanevea, merlin mwenyewe n gayas without forget soccorers stuffz

Hahahahahaa.., hawa viumbe utadhani ni mapacha., Bila kumsahau Lady Morgana, huyu kanifundisha kuwa mtu anaweza kuwa mpole na muoga kuliko lakin akabadilika na kuwa Mtu mbaya kuliko ubaya wenyewe..!!
 
Hahahahahaa.., hawa viumbe utadhani ni mapacha., Bila kumsahau Lady Morgana, huyu kanifundisha kuwa mtu anaweza kuwa mpole na muoga kuliko lakin akabadilika na kuwa Mtu mbaya kuliko ubaya wenyewe..!!

Yan umenikumbusha kitu jaman bt nae mzee pendragun alikua mafia hadi kumficha mwanae kama morgana ni mwanae aaaaah kiukweli nilikua napenda merlin anavyofanya mambo halaf arthur anaona ye ndo jeeeembee imic those craiz kids jaman
 
Sikufahamu kwamba kuna series kama hiyo....zinapatikana kwa stores hapa dar?! anyway, let me try to check for it manake ndo ugonjwa wangu huo!
 
Kama unapenda hii basi nadhani wakati unangoja season 5; unaweza kuangalia Once Upon a Time..; lakini at the moment ukiniuliza the best series (actors including plot) ni Person of Interest na Fringe (to name just a few)

Nadhani hapo utaona connection ni (J. J. Abrahams) the genius behind the creation of Lost..
 
Sun wu me mich uu much
 
Back
Top Bottom