Young Philosopher
Member
- Apr 10, 2012
- 34
- 3
Siku ya leo ninakumbukumbu ya muziki wa dansi wa hawa jamaa uliotuburudisha vilivyo enzi hizo. Ombi langu wakubwa ni kupata CD zao nazihitaji sana hasa nyimbo kama Clara, urafiki wa uongo, wifi, na nyinginezo. niko nje ya Dar. nipo kanda ya ziwa.