Nani mwenye nyimbo hizi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani mwenye nyimbo hizi?

Discussion in 'Entertainment' started by King Kong III, Apr 14, 2012.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Habari wadau wa mziki!

  Natafuta nyimbo hizi kama kuna mtu anazo anitumie au aziattach hapa tuzidownload.

  1.BDP--Rudi Mpenzi
  2.SOS B----Kukuru kakala zako wewe
  3.Jose Mtambo--Wakati wa kujilinda sasa utakoma utaenya na kithaathaa.
  4.Unique Sisters ft mac D---Bounce

  Nawasilisha.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Wadau hamna???
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,426
  Likes Received: 22,345
  Trophy Points: 280
  Bujibuji anazo zote hizo kwenye kanda, ila bahati mbaya redio yangu sio dabo deki ningekurekodia
   
 4. K

  Kimweli JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 865
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Da mkuu, kudownload siyo vizuri. Tulinde wasanii wetu. Nyimbo nzuri sana hizo mimi nadhani ninazo niko mbali tu na kacomputer kangu nikiziona itabidi ukalipe Basata then ndo nikutumie.
   
 5. Mnyamwezi wa Urambo

  Mnyamwezi wa Urambo JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mkuu umezikosa you tube kweli?
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Mnyamwezi ukiziona huko niwekee link kaka.
   
 7. Butho Mtenzi

  Butho Mtenzi JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 326
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nami ikionekana ya Meko-Mauza uza
   
 8. muuza ugoro

  muuza ugoro JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  unanikumbusha time ago. nilwah kuwa nazo zote nimezirekodi kwenye kanda frm radio. tena nakumbuka ni radio 1 kipindi cha abut sadiki na show time ya RFA na kidbway na homeboy. in case ukizipata. unaukumbuka Summer party wa soggydoggy? tupa mawe za zahran na complex? Watasema wa majizee na solothang? kigetogeto original wa necha na king sopeto? vp ntapata wa Wimbi la njaa wa necha?
   
 9. muuza ugoro

  muuza ugoro JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  kuna mtu anaweza kuwa na za jide zile za long time kama aloimbaga na prof j wa zamani sana cjui unaitwaje ila unaanza jay anachana na jide kwenye chorus anaimba " dini kwetu si 7bu ya mi na we kupendana" na kuna trak ya mambo ya feza ya sugu na jide. vp kuna m2 ana ngoma ya LWp ya panya? kindumbwe ndubwe ya FDC?
   
 10. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Click Hapa
  then utakuwa unapiga next mpaka zitakuja hizo nyimbo unazotaka
  tchao.!
   
Loading...