Kili Music Awards 2012!

yantuzu

Senior Member
Dec 10, 2011
115
16
Mwaka huu hizi tuzo zimekuwa powa sana, wanamuziki wengi na wadau waliopata tuzo kwa namna moja au nyingine walistahili sana maana wamefanya kitu kwa mwaka uliopita.
1.Sijaridhika na mwimbaji bora wa kike kuwa Lady Jay-de, sijaona kitu alichofanya kiukweli kwa mwaka jana, Linah alikuwa best choice kwa upande wangu.
2. Waandaaji wa music kuna kichwa Marco Chali, huyu jamaa ni mkali sana ila hajawahi kupata tuzo hata moja, sina uhakika kama Maneck anamfikia Marco Chal.
Wapiga kura wakati mwingine hatuangalii kazi ya mtu bali tunafuata Ushabiki na hicho kinawakatisha tamaa watu wenye bidii zao.
Ni maoni yangu tu wadau, msijenge bifu.
 
Tunzo bora ya taarabu eti anapewa B12,eti producer bora anapewa maneke si bora angepewa water bongo fleva mapepe bongo fleva kicheche itafahamika tu!
 
May b umeanza kufuatilia tuzo this year,marco chali ameshawahi kuchukua hiyo tuzo mwaka 2009 bilashaka.kwa mwaka huu maneck katoa hits nyingi zaidi i.e hakunaga,starehe gharama,usikate tamaa,mawazo,etc realy deserves it..
 
Jay D anastahili hajapatikana wakumshinda !

Tuwe wakweli anajitahidi sana
 
MKATORIKI HALISI 'ROMA'alistahili kuwa mwana hipop bora kwa mwaka hapo nilidhika sana

hongera sana kwa waandaaji na wapiga kura wote
 
Sijafatilia show,ila kama roma kapata ni haki yake,
jay d mwache apate wadau wanaoandaa weng ni watu wake
 
kama ni mfatiliaji sana wa tunzo hizi tangu zina anza utakuwa una kumbukumbu ya kuwa marco chali alishachukua tunzo hizi,jaribu kufuatilia! jamaa anastahili ila kwa mwaka huu maneck anastahili pia,amefanya kazi nyingi nzuri!
 
Jay D anastahili hajapatikana wakumshinda !

Tuwe wakweli anajitahidi sana


Jay dee ni mkalia lakini kwa tuzo hizi hakustahili kupata maana hakutikisa au hizi tuzo ni za historia na si kitu kilichopo? Mtu kama Suma lee na hakunaga, haina ubishi maana ni kila mahali utaisikia hiyo nyimbo!
 
haufatilii! u stil want 2 comment! don u think its wastage of ur time!
 
Back
Top Bottom