Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

wana jamii naomben sehem zenye burudan atown mfano swimming pools video games e.t.c
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari. Kwa wale wapenzi wa series ya Nikita Season 3 imeshatoka. Naomba kuwasilisha. Rogie.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwigizaji mwenye vituko vya aina yake Irene Uwoya, leo amesafari kwenda Moshi kumzika baba yake Mkubwa mbaye ndiye yule yule aliyekuwa padri wa harusi yake na Ndikumana. Soma Zaidi Wasanii wenzake...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu naomba msaada link ambayo naweza ku-download bure legend of the seeker season 3 na Spartacus season 2 na kuendelea.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Ray c kaenda U.G kufanya show na wenzake kama Emedy na wengine.Duh! Chakustajabisha Ray C alikuwa tilalila balaaa,akaanza kutukana on stage mashabiki wakaanza kumrushia chupa ndipo walinzi...
0 Reactions
18 Replies
20K Views
Yes...! Celebs biographies,personal lives, interviews, news, events and more...EXCLUSIVELY!!! .Coming Soon.!! visit the website BongoMovies Official Website Like our facebook page BongoMovies...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwigizaji na mfanyabiasha na aliyewahi kuwa mwanamuziki Dotnata Poshi, amesema kwa sasa ameaokoka kabisa na kuamua kufungua kanisa kubwa lengo likiwa kuwashawishi wasanii wenzake kuachana na...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Mastaa taja hapo juu leo wameomba msamaha kwa tendo lao lililoichefua jamii kwa picha zisizositiri miili yao, Akiongea Wema anasema steji ya fiesta iko juu na waandishi wa habari hukaa chini...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Kuna kipindi nilidhani kwamba hakuna chombo chochote cha kuweza kusimamia maadili ya filamu nchini. Hususani kuanzia katika uigizaji na hata jinsi wanavyofanya majukwaani.Lakini nimeweza kugundua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi jamani nyie huwa mnawaelewa hawa wanaojiita mastaa wa Bongo?? unakuta mtu anajiita staa anajivimbisha mbele za watu lakini hana mahala pakuishi pakueleweka, Akili ya kuwekeza hawana matokeo...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Hello wanajamvi, wapenzi wa Movie na Series, kama umeshawahi kuona series inaitwa Strike Back tayari SEASON 3 ipo hewani kama hujawahi kuiona kabisa basi itafute inafaa kuangalia hasa ukichukulia...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Roger Moore laughs off James Bond bashing By Meriah Doty Posts By Meriah Doty | Movie Talk – 10 hours ago Roger Moore in 1972 (Photo: AP/file)Although he ties Sean Connery...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Amazing Giuliano Stroe - YouTube
0 Reactions
0 Replies
921 Views
Nini kipo nyuma ya wasanii hawa kuomba radhi kwa jamii? Je tuamini kuwa sasa wamekua au kuna shinikizo la wamiliki wa bongo movies kwa ajili ya mafanikio yako binafsi?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Uma Thurman Reveals Baby Name - Yahoo! News
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Msanii nguli amealikwa kupiga show za nguvu nchini kenya. Show hizo atazipiga mjini Lamu, Malindi na Mombosa. Akitoka Kenya ataelekea Dubai. Tumpe hongera tafadhali
0 Reactions
5 Replies
1K Views
IMPOSSIBILITIES IN THE WORLD 1. U can’t count your hair 2. U can’t wash your eyes with soap 3. U can’t breathe when your tongue is out Put your tongue back in silly.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
A Brazilian student is auctioning off her virginity to raise cash to build homes for poverty-stricken families. Catarina Migliorini, 20, is set to plough the money into a fund to build modern...
0 Reactions
0 Replies
863 Views
Jamani kusema kweli hivi sasa wasanii wetu wa filamu wamejitahidi katika kubuni makava ya filamu...lakini tatizo lipo ndani ya filamu zeneye, mambo yamekuwa si mambo. Unafikiri wafanye nini? Hebu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom