kijana huyu anaitwa KATABAZI, kaimba songi lake ila ugumu uko katika distribution na kupata airtime.. hana meneja, so anaomba msaada wa wadau, either advice, au technical support.. kama unaweza...
Ndugu wanajamii nimekuwa nikijiuliza kwa nini wasanii wengi wamekuwa wakirekodi picha za utupu hasa wanapokuwa wanafanya ngono,nimekuwa nkijiuliza nashindwa,,,mfano tu hapa juz zimeonekana picha...
Hii movie inaonekana ni kali, nitaipata wapi? Niko kijijini.
Five Film Facts: 'The Expendables 2'PrevNext
Go to page 1Go to page 2Go to page 3Go to page 4Go to page 5Go to page 6Go to...
habari jaman jamvin himu mie nasty leo mepata memory card ya 2gb mpyaa need mziki mpaka nkomee
Nahitaji list za sweet regae nzuri, list ya nyimbo za adele apart from some one like u, st fire to...
Siku chache baada ya kumaliza kugonga kichupa cha wimbo wake mpya, nyota wa hip hop pande za Kenya, Jua Kalli amevuta ndinga mpya ya kisasa aina ya Chrysler Crossfire yenye thamani ya Shilingi...
Hello Everyone,
My name is Brian White love to watch movies, recently watched Man in Black 3 movie at my home with my friends. This was so interesting movie, i enjoyed it a lot.Here you can...
HABARI ZENU WANA JF,
Mimi naomba kwa wale walioko Jangwani kwenye hili tamasha la love Tanzania festival watupe angalau updates hapa nitashukuru sana!!
Ndugu wana JF naomba Msaada Wa Kupat Jina La Wimbo Huu! Wimbo Unasikika Kipande Kidogo tu Kwenye Tangazo La Eid Katika Radio Clouds ni Wimbo wenye mahadhi Ya South Africa kuna Sauti ya Mdada...
kati ya superhero gan unamwona nguvu zake au yake ni the best je ni superman au batman au spiderman au wale wa xmen kama kina magneto in short nani atatembezea wenzake?
Wakuu kwa wale wafuatiliaji wa hii kitu leo ndo final, Mshindi ni mmoja kwa mwaka huu na ataondoka na kitita cha USD-300,000.East africa tunawakilishwa na Prezoo aka the president from kenye na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.