Naomba mwenye kufahamu kuhusu wimbo huu.

Naomba mwenye kufahamu kuhusu wimbo huu.

ijoz

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
731
Reaction score
718
Amani kwenu wadau... Jamani kuna wimbo mmoja ni maarufu sana kipindi cha Pasaka, na unaimbwa na makanisa ya RC (sina uhakika na mengine) Baadhi yetu tunauita Hallelujah Kuu. Uzuri wa wimbo huu ni mpangilio wa sauti na namna zinavyobadilishwa kutoka moja kwenda nyingine. Tatizo langu ni kuwa sifahamu kwa hakika jina la wimbo huu wala choir zilizoimba. Mwenye ufahamu anisaidie jina la wimbo na /au choir. Natanguliza shukrani..
 
Toa hata sehemu za beti zake tujue unaimbwaje .....hata sisi tusiosali regularly walau tulisoma KATEKISIMU...Nyimbo za msingi tunazijua..FUNGUKA
 
Toa hata sehemu za beti zake
tujue unaimbwaje .....hata sisi tusiosali regularly walau tulisoma
KATEKISIMU...Nyimbo za msingi tunazijua..FUNGUKA

kwa kweli sifahamu sana kuhusu beti za wimbo lakini nafikiri wanaimba:
halleluyah...x3... halleeluuyah.,.
Aaameefu...fuka...alivyosema...
Fufuka...x3
sasa mi nautaka ule wa kiingereza au kilatini.
 
Back
Top Bottom