Mimi nashangaa sana, hawa jamaa wa TBC hizo frequency wanazitoa kwa utaratibu gani? maana nimesikia watu wanasema frequency za tbc2 kwenye LNBF ya Ku-band wamezitoa, lakini sijasikia kama zimetoka, na leo ndio kimbembe kina anza, kuna watu wana madish makubwa na hizo LNBF kununua tena hizo receiver za startimes inakuwa kama kupoteza hela labda kama siyo mwanauchumi, naomba kama kuna mtu anajua utaratibu wa kuzipata hizo frequency ananisaidie.
i appreciate you wanajamii very much, keep it up
regards
xpert
i appreciate you wanajamii very much, keep it up
regards
xpert