Faceboo ya kibongo

Zamaulid

JF-Expert Member
May 25, 2009
17,988
2,000
sijaipenda eti huwezi kuona kitu hadi ujiunge!!!si wangeiachia kama huku jamiiforums,kuwepo na wageni na wenyeji!
 
figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
18,665
2,000
faceboo,facebook,twitter na blogs za kibongo sijaona faida wala hasara zake lakini hiyo yako sijiungi sababu naamin jf ndo kila kitu. news napata jf, burdan napata jf, mambo ya kikubwa napata jf, mademu napata jf. udaku napata jf. mia
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
194,114
2,000
faceboo,facebook,twitter na blogs za kibongo sijaona faida wala hasara zake lakini hiyo yako sijiungi sababu naamin jf ndo kila kitu. news napata jf, burdan napata jf, mambo ya kikubwa napata jf, mademu napata jf. udaku napata jf. mia

Du faceBOO, mademu udaku...sawa mzee
 
Revolution

JF-Expert Member
Feb 28, 2008
761
500
faceboo,facebook,twitter na blogs za kibongo sijaona faida wala hasara zake lakini hiyo yako sijiungi sababu naamin jf ndo kila kitu. news napata jf, burdan napata jf, mambo ya kikubwa napata jf, mademu napata jf. udaku napata jf. mia

Mkuu mademu unapata vipi JF ili nami niwe mdau?
 
figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
18,665
2,000
Sasa mkuu mia unajuaje huyo member ni "ME" au ni "KE"? Nisije nikaleta tafrani humu ndani...
unaangalia comment zake na mwandiko!..kwani mkuu hujui kutofautisha mwandiko wa kike na kiume? au wewe ulikua haundikiani barua na wasichana enzi zako?. miandiko ina tofauti kama hujui bora uende faceboo tu!. mia
 
Revolution

JF-Expert Member
Feb 28, 2008
761
500
unaangalia comment zake na mwandiko!..kwani mkuu hujui kutofautisha mwandiko wa kike na kiume? au wewe ulikua haundikiani barua na wasichana enzi zako?. miandiko ina tofauti kama hujui bora uende faceboo tu!. mia

Basi ngoja nijaribu mkuu...nikimpata na kufanikisha nitakueleza, na hivi msimu wa sikukuu umewadia...
 
Rjohn

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
613
225
faceboo,facebook,twitter na blogs za kibongo sijaona faida wala hasara zake lakini hiyo yako sijiungi sababu naamin jf ndo kila kitu. news napata jf, burdan napata jf, mambo ya kikubwa napata jf, mademu napata jf. udaku napata jf. mia

hujapunguza k2 wakwe2 sahh kabisa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom