Msewe na karume, hiyari ya moya na kikwete.

Msewe na karume, hiyari ya moya na kikwete.

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,709
Reaction score
1,735
Katika kusherehekea miaka 49 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar leo kupitia TBC nimefurahishwa mno kumuona aliyekuwa rais wa Zanzibar mh Amani Karume akisisimkwa na ngoma ya Msewe kiasi kama isingekuwa uheshimiwa naamini angejiunga nao kucheza ngoma hiyo.
Wakati ngoma ya Hiyari ya moyo ya Dodoma (pamoja na kucheza Ndombolo) rais wa jamhuri ya muungano mh Jakaya Kikwete nilimuona kama kasinzia hivi. Ngoma hii ilidorora japo kiongozi wake alinikumbusha sauti ya marehemu Mwinamila.
Je wewe katika sherehe hivi uliona nini?
 
Back
Top Bottom