Mutensa
JF-Expert Member
- Feb 20, 2009
- 421
- 92
Nitakuwa mchoyo wa fadhira nikikosa kuwapongeza startimes kwa kushirikiana na serikali yetu kutuingiza kwenye zamadigitali. Ombi langu kwenu ni moja tu, jamani boresheni QUALITY ya sauti. There are lots of hissing sounds while watching programs. nimeondoa kabisa uwezekano wa tv yangu kuwa na tstizo maana nimejaribu tv nyingine na matokeo ni yaleyale.