Kora Music Awards

Kora Music Awards

furahi

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
945
Reaction score
197
Leo nilikuwa nacheki Kora awards 2012 on UBC (Uganda) iliyofanyika Abidjan . Ddnt know it still exists, what happened kwa nini TV zetu hazitangazi tena Kora Awards? Nimeona nominees from TZ like Ally K ft Jaydee Single boy na Dogo Aslay pia.. I really missed those days walikuwa wakituonyesha live.. n ki2 kingine wameichukulia kiwest Africa sana hata lugha ya matangazo ilikuwa French tu..
 
Labda wadhamini walizingua si unajua haya mambo ya airtime ya vipindi ni suala la wadhamini tu.......

Ila ilisimama miaka ya 2005 nadhani mpaka kwenye 2008....

Labda hapo ndo TV zetu zikakatika moyo.

Ila kuna matamasha mengi sana makubwa yanatokea afrika na bado TV zetu hazionyeshi kuchangamkia sana, nadhani labda na hadhira ya Watz haijaamka sana na haya mambo!

Taratibu tutafika!
 
I hope so..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom