Nichukue fursa hii kumpongeza Mh. makala, baada ya Sugu kukomaa na hii studio iliyotolewa na Rais kwa kikundi cha fleva unit kupelekwa baraza la sanaa ili kuwanufaisha wanamuziki wote serikali...
Maonesho ya vikaragosi yaliyoanzishwa na tar TV na kupewa jina la Pickaborn Puppet Show ni onesho zuri sana lililojaa ucheshi wa kweli. Wahusika wanatumia lafudhi za makabila mbalimbali hapa...
Baraza la sanaa tanzania BASATA limetoa tangazo hilo, kwenu wanajamv kama una kipaji cha kuimba nafasi ni yako.nchi 79 zinashiriki.wimbo uwe na malengo ya umoja huo wa afrika,caribian,na...
Black Eyed Peas rapper Will.i.am is hoping his latest track gets a giant leap up the charts after it is played for the first time on Mars.
Reach For The Stars will be broadcast live from the...
Shaggy chifu wa Wasukuma!!!, ama kweli Wasukuma tumeishiwa.
Jamii yetu imejengwa katika matabaka mbalimbali ambayo nguzo zake kuu ni mila na desturi. Tatizo kubwa ambalo linaikabili jamii yetu...
Wanajamii mnaopatikana moshi na tanga naomba mtoe feedback ya hili tamasha linaloanza leo! Inaonekana kama vile fiesta inapoteza mvuto kwa vijana wa sasa tofauti na mwanzo! Tanga na moshi...
Nakiri kuwa Chege mtoto wa mama side ni msanii mzuri na muziki anaupatia. Kuna wimbo wake nimeufuatilia hadi mwisho nimeshindwa kubaini alikuwa anamaanisha nini. Anasema hivi:
Hili dude bwana...
Stori: Sifael Paula; www.globalpublisherstz.info
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemuita ikulu mwanamuziki anayefanya vizuri kwa sasa kwenye Bongo Fleva, Nasibu...
wadau hiyo series imenibamba ile mbaya kwanzia season 1 mpaka 7..hivi kuna series nyingine yenye vituko kama hii...kama zipo zishusheni wadau nianze kuzitafuta.. hapo kwenye himym barney stinson...
Wadau naona kipindi kinarushwa live na kuna bendi inatumbuiza kinacho nichanganya bendi inaimba nyimbo za kiingereza wakati hao mabibi wenyewe hawajui hiyo lugha
Samahani waungwana, kuna wimbo fulani niliusikia ktk kituo fulani cha redio skumbuki ni redio gani, unaitwa uchumi umeyumba, sijui ameimba msanii gani lakini amemshirikisha Chege. Niliusikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.