Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Nimemsikia kasema hongera kwa kuwa top 2...kakosea au ndo kamanisha
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wakuu naomba tujikumbushe tetesi ya mwanajf mwenzetu ambaye alitueleza kuwa mwaka huu anayeshinda ni mwanadada kutoka zanzibar.kweli JF ni zaidi ya habari tumpongeze na tujipongeze wanaJF...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Jumuiya ya watumiaji wa huduma mbalimbali nchini kupitia mitandao ya kijamii ya Facebook na Twitter imezindua rasmi shindano la kusaka kampuni zinazotoa huduma na bidhaa mbovu kwa wateja nchini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MANG'OMA ngoma hii ya Kinyakyusa
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wanajamvi tetesi zilizopo kwa hewa ni kwamba mshindi mtarajiwa wa BSS kwa sasa atatoka zanzibar.wadau mnanaje hili. How these speculations will affect the selected members!
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Tofauti na Bongo Star Search ya mwaka jana 2011, BBS ya mwaka huu naona imekosa mvuto tokea ilipoanza hadi hii leo inapokaribia kilele chake hapo tarehe 09. Nov pale katika ukumbi wa Diamond...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Steve Nyerere aliamua kumuita Hostadhi na kusoma kisomo kwaajili yakumrehemu mwanaye Waiton, lakini kikubwa ambacho alikifanya pia ni kusoma albadili kwa wasanii wenzake ili waweze kujisafisha na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hizi radio online zinasaidia sana jamii iliyo nje ya nchi na pia kwa sababu ya kukua kwa technology basi unaweza sikiliza radio kwenye simu, laptop nk. hivyo nawapongeza wamiliki wa vituo hivi kwa...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Unaweza ukawa unasema, Dar es salaam sikuja kuangalia maghorofa, lakinikila siku ukawa unawtiwa changa kutokana na vituko vya mji huu. Hivi hiki kizaa zaa cha mtu na mpenzi wake kugandana wakati...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
wanajamii, nimekutana na ujumbe wa mwanaharakati huyu(alpha blondy). anajalibu kuelezea jinsi wanasiasa na viongozi wengine wa kidini wasivyo jali watu wao na kujali/kulinda maslahi yao. kwa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Naona kidogo amepewa shavu Professor Jay - Professor Jay: Tanzania
0 Reactions
0 Replies
906 Views
Habari ya Jumapili wakuu. Huwa inatokea wimbo mmoja uka-stick kichwani mwako kwa siku nzima. Na huu wimbo unaupata kwa kusikiliza redio nyumbani,redio ya jirani,au unapopita ktk baa,kiosk au...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
hiri ri songi ripya rya kijana DON KATAbazi rimenikosha jamani....waweza risikiriza hapa....kwa wapenzi wa bongo freva lakini.. Listen to Nieleze-Don Kata_(produced by mantano) on Hulkshare - Free...
0 Reactions
0 Replies
926 Views
mine is.. I carry the cross, if Virgin Mary had an abortion I'd still be carried in the chariot by stampeding horses Had to bring it back to New York I'm happy that the streets is back in New York...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Natazama miss tanzania kupitia star tv namuona le mutuz a.k.a willium malecela kaojiwa na mtangazaji wa star tv. Yafutayo ni maongezi yake. Mtangazaji: "huyu ni mjumbe wa ccm yuko hapa kwenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi huwa napenda hiphop sana.Niliposilikiza hii video ya Cypher 2012-Various Artists nilipatwa na mshangao.Sijui Fid Q alikuwa anafikiria nini kwenye ule mstari anaosema "Changanya ****** ili...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Tunawezaje kuwaamini majaji wa Epic Bongo Stars search hususani kuhusu upigaji wa kura. Kwa nini kusingekuwa na screen counts tuone vividly jinsi watu walivyopiga kura ngapi kwa nani. Nimehisi...
9 Reactions
68 Replies
9K Views
Jana na leo nimebahatika kumcikiliza Mwanamuztiki wa zamani na muasisi wa chama cha muziki Tanzania Mzee Kassim Mapili akizungumzia kusahauliwa kwa wanamuziki nyota wa zamani.. Akatolea mfano...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi faida ya miss tanzania ni nini? Nimejaribu kufikiri nimeshindwa Sioni faida ila naona kama ni ujanja janja wa watu wa mjini tu hapa wakiongozwa na lundenga
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Chocheeni kuni moto uwake ugali uive mnachotaka kitokee Halikeni mamruki, wakija wangojee, mikeka wawekee Wanachotaka kitokee Chochea X 8 Watanzania mwenda kwao siku zote haogopi giza Acheni...
4 Reactions
21 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…