Wanajamvi tetesi zilizopo kwa hewa ni kwamba mshindi mtarajiwa wa BSS kwa sasa atatoka zanzibar.wadau mnanaje hili. How these speculations will affect the selected members!
mpaka dakika hii yeye ndo mshindi na hana mpinzani.Yule binti alieimba wimbo wa Alicia Keys wa Fallin Na akajipigia gitaa??
we do not act on speculations. Mashindano ndo yameanza utajuaje mshindi anatoka wapi? mawazo DHAIFU
Yule binti alieimba wimbo wa Alicia Keys wa Fallin Na akajipigia gitaa??
its not about the girl being mzanzibari its all about kuwa mwanamuziki deep down her heart,mtaanza kuweka maswala ya muungano,mara udini mara sijui nini semeni yote mtakayosema lakini YULE MTOTO ANAIMBA!KHA!ndo inasemekana lakn mshind kwa sasa lazima atoke zanzibar so kama wewe ni mzanzibari upo bss fanya kweli mihela ya kwenu hiyo
Wanajamvi tetesi zilizopo kwa hewa ni kwamba mshindi mtarajiwa wa BSS kwa sasa atatoka zanzibar.wadau mnanaje hili. How these speculations will affect the selected members!
Tumeshakujua dhamira yako. Unataka kuifanya jamii iamini hivyo pindi Zanzibar ikishinda. Sina nia ya kuwatetea BSS. Anyway, habari yako ni tetesi na udaku.
we do not act on speculations. Mashindano ndo yameanza utajuaje mshindi anatoka wapi? mawazo DHAIFU