Nawapongeza wenye RADIO hizi kwa kurusha matangazo online na wengine waige

Ng'azagala

JF-Expert Member
Jun 7, 2008
1,286
221
Hizi radio online zinasaidia sana jamii iliyo nje ya nchi na pia kwa sababu ya kukua kwa technology basi unaweza sikiliza radio kwenye simu, laptop nk. hivyo nawapongeza wamiliki wa vituo hivi kwa kutuwekea matangazo online. sijajua inagharimu kiasi gani ila na wengine wangeiga kwani Radio kubwa kama RFA, Radio One, TBC hawana kitu kama hiki

Stations

88.4 | Clouds FM - The People's Station
The People's StationRevy | Dar es Salaam, Tanzania

89.1 | Radio Maria (Tanzania) (Radio Maria (RM)) - A Christian VoiceIn Your Home
A Christian Voice In Your HomeKatolik | Arusha, Tanzania

92.1 | Info Radio
Rock | Mtwara, Tanzania

87.8 | Pride FM - Inapasua mawimbi
Inapasua mawimbi | Mtwara, Tanzania

87.8 | Ebony fm (EBONY FM 87.8) - feel the difference
feel the difference | Iringa, Tanzania

97.9 | Radio Kwizera - Jukwaa La Matumaini
Jukwaa La MatumainiSamhälle,Katolik | Ngara, Tanzania

88.5 | COUNTRY FM - ONE COMMUNITY
ONE COMMUNITYSamhälle,Country | Iringa, Tanzania

102.6 | Choice FM - The Better Music Mix
The Better Music MixRevy | Dar es Salaam, Tanzania

104.1 | RADIO KHERI
| Dar es Salaam, Tanzania

103.6 | Qiblaten FM - Sauti ya Hekima
Sauti ya HekimaIslam | Iringa, Tanzania

92.9 | magic fm - believe in the power of magic
believe in the power of magic | Dar es Salaam, Tanzania

99.9 | Passion FM
| Mwanza, Tanzania

91.9 | HHC Alive FM Radio - Sauti ya Tumaini
Sauti ya TumainiSamtidakristen musik | Mwanza, Tanzania

93.0 | Mambo Jambo FM
Tal | Arusha, Tanzania

100.5 | Times fm - Experience Africa
Hatua TatuAfrican Rhythms | Dar es Salaam, Tanzania

Link zuri kwenye compute ni Tunein wale wenye android phones wanaweza ku download na Tunein na kuitumia kwenye simu

TBC Taifa bado wamelala na wanajua hata wakiweka ambao watawasikiliza ni wachache sana kutokana na kuwa mdomo wa propaganda badala ya kufuata weledi.
 
Wewe RFA ipo hewani hata Star tv unaipata net nakumbuka mechi ya Simba ma Yanga nimeiona Kwenye laptop

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Asizotaja huenda hazipo online au kasahau pia wanajua km zipo online watataja.
 
Wewe RFA ipo hewani hata Star tv unaipata net nakumbuka mechi ya Simba ma Yanga nimeiona Kwenye laptop

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

RFA na Star TV zinapatikana kwa link gani? kwani link zilizopo hazirushi kitu
 
Radio Imaan haimo? Au ndio 'Mfumo Kristo'

zipo hizi hapa

104.1 | RADIO KHERI
| Dar es Salaam, Tanzania

103.6 | Qiblaten FM - Sauti ya Hekima
Sauti ya HekimaIslam | Iringa, Tanzania

hizo nyingine sijaziona unaweza kusearch
 
zipo na jamii forum redios, lakini wao most of the time ni miziki, sijui hawana cha kutangaza!
 
Hizi radio online zinasaidia sana jamii iliyo nje ya nchi na pia kwa sababu ya kukua kwa technology basi unaweza sikiliza radio kwenye simu, laptop nk. hivyo nawapongeza wamiliki wa vituo hivi kwa kutuwekea matangazo online. sijajua inagharimu kiasi gani ila na wengine wangeiga kwani Radio kubwa kama RFA, Radio One, TBC hawana kitu kama hiki

Stations

88.4 | Clouds FM - The People's Station
The People's StationRevy | Dar es Salaam, Tanzania

89.1 | Radio Maria (Tanzania) (Radio Maria (RM)) - A Christian VoiceIn Your Home
A Christian Voice In Your HomeKatolik | Arusha, Tanzania

92.1 | Info Radio
Rock | Mtwara, Tanzania

87.8 | Pride FM - Inapasua mawimbi
Inapasua mawimbi | Mtwara, Tanzania

87.8 | Ebony fm (EBONY FM 87.8) - feel the difference
feel the difference | Iringa, Tanzania

97.9 | Radio Kwizera - Jukwaa La Matumaini
Jukwaa La MatumainiSamhälle,Katolik | Ngara, Tanzania

88.5 | COUNTRY FM - ONE COMMUNITY
ONE COMMUNITYSamhälle,Country | Iringa, Tanzania

102.6 | Choice FM - The Better Music Mix
The Better Music MixRevy | Dar es Salaam, Tanzania

104.1 | RADIO KHERI
| Dar es Salaam, Tanzania

103.6 | Qiblaten FM - Sauti ya Hekima
Sauti ya HekimaIslam | Iringa, Tanzania

92.9 | magic fm - believe in the power of magic
believe in the power of magic | Dar es Salaam, Tanzania

99.9 | Passion FM
| Mwanza, Tanzania

91.9 | HHC Alive FM Radio - Sauti ya Tumaini
Sauti ya TumainiSamtidakristen musik | Mwanza, Tanzania

93.0 | Mambo Jambo FM
Tal | Arusha, Tanzania

100.5 | Times fm - Experience Africa
Hatua TatuAfrican Rhythms | Dar es Salaam, Tanzania

Link zuri kwenye compute ni Tunein wale wenye android phones wanaweza ku download na Tunein na kuitumia kwenye simu

mbona mi sielewiiiii maana hizi redio zote wamiliki wake.....ni waisilamu........siionni hata ya wakritooooo
1.kama wapo radio
2.faraja redio........
3.upendo fm......................

huu ni wakati ndugu zangu wakristoo huu ni wakati wa kukesha na kuombaaaaa kwa jina la yesuuuu:A S angry::A S soccer::nimekataa
 
Hizi radio online zinasaidia sana jamii iliyo nje ya nchi na pia kwa sababu ya kukua kwa technology basi unaweza sikiliza radio kwenye simu, laptop nk. hivyo nawapongeza wamiliki wa vituo hivi kwa kutuwekea matangazo online. sijajua inagharimu kiasi gani ila na wengine wangeiga kwani Radio kubwa kama RFA, Radio One, TBC hawana kitu kama hiki

Stations

88.4 | Clouds FM - The People's Station
The People's StationRevy | Dar es Salaam, Tanzania

89.1 | Radio Maria (Tanzania) (Radio Maria (RM)) - A Christian VoiceIn Your Home
A Christian Voice In Your HomeKatolik | Arusha, Tanzania

92.1 | Info Radio
Rock | Mtwara, Tanzania

87.8 | Pride FM - Inapasua mawimbi
Inapasua mawimbi | Mtwara, Tanzania

87.8 | Ebony fm (EBONY FM 87.8) - feel the difference
feel the difference | Iringa, Tanzania

97.9 | Radio Kwizera - Jukwaa La Matumaini
Jukwaa La MatumainiSamhälle,Katolik | Ngara, Tanzania

88.5 | COUNTRY FM - ONE COMMUNITY
ONE COMMUNITYSamhälle,Country | Iringa, Tanzania

102.6 | Choice FM - The Better Music Mix
The Better Music MixRevy | Dar es Salaam, Tanzania

104.1 | RADIO KHERI
| Dar es Salaam, Tanzania

103.6 | Qiblaten FM - Sauti ya Hekima
Sauti ya HekimaIslam | Iringa, Tanzania

92.9 | magic fm - believe in the power of magic
believe in the power of magic | Dar es Salaam, Tanzania

99.9 | Passion FM
| Mwanza, Tanzania

91.9 | HHC Alive FM Radio - Sauti ya Tumaini
Sauti ya TumainiSamtidakristen musik | Mwanza, Tanzania

93.0 | Mambo Jambo FM
Tal | Arusha, Tanzania

100.5 | Times fm - Experience Africa
Hatua TatuAfrican Rhythms | Dar es Salaam, Tanzania

Link zuri kwenye compute ni Tunein wale wenye android phones wanaweza ku download na Tunein na kuitumia kwenye simu

HADI kwenye IPHONE zipo kwenye APPLICATION inayoitwa WUNDER RADIO... Yaani Tunazo NYINGI zaidi ya KENYA
 
hii WUNDER RADIO ya android phones inauzwa naona, hakuna ya bure kama tunein tehetee
 
Back
Top Bottom