Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,263
Natazama miss tanzania kupitia star tv namuona le mutuz a.k.a willium malecela kaojiwa na mtangazaji wa star tv.
Yafutayo ni maongezi yake.
Mtangazaji: "huyu ni mjumbe wa ccm yuko hapa kwenye miss tanzania, habari willium malecela,
Unaonaje miss tanzania?"
Le mutuz: (kwa lugha ya mtu ambaye hajui kiswahili vizuri)
"Mimi nilikua marekani kwa mda mrefu sana so maswala haya nimeshayazoea sana so nimefarijika kurudi hapa nyumbani na kukuta wanajitahidi kiasi chake.
Pia nimekua mfuatuiliaji sana wa haya mashindano na nimewafadhili washiriki wawili kuingia ktk mashindano haya"
MY TAKE: Huyu Le Kibonge anapendezea sana kuwa mjumbe kwenye kamati ya miss tanzania, namshauri aachane na siasa, yeye anaipenda siasa ila siasa haimpendi.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums