Kuchemka kupo kwa kila binadamu ndiyo maana kwenye track yake ya usinikubali haraka anasema...binadamu mimi najua sijakamilika,nitwange kama dawa za utamu kila dakika! Pia kuna nyingine ile Fid Q.Com kuna mstari anasema...maneno machafu mpumbavu huyadaka upesi,mithili ya nzi na mlima kinyesi.Sijui kwa nini anapenda kuyatumia maneno ya aina hii...labda kwa sababu hahitaji marafiki labda ampate mmoja ya kuongea nae,mwingine wa kumwongelea!